Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKOA WA GEITA WAPONGEZWA KWA KUWA WABUNIFU KWENYE MIUNDOMBINU YA ELIMU


NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Gerald Mweli amefurahishwa na ubunifu wa kutumia tofali mfungamano (Interlock) kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa katika kukabiliana na mrundikano wa wanafunzi katika shule za Mkoa wa Geita.

Mweli ameonyesha furaha yake wakati wa ziara ya kikazi Mkoani humo iliyokua na lengo la kukagua miundombinu ya Elimu iliyojengwa na inayoendelea kujengwa pamoja na  kupokea changamoto za walimu na kuzitolea ufafanuzi.

Akiwa Mkoani Geita Mweli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Prof. Mchome awataka Watumishi wa Wizara ya Elimu kuwa Wabunifu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kuwa wabunifu zaidi na kuhakikisha kuwa wanachokibuni kiwe kinatekelezwa na kuchukua hatua kwa wasiotekeleza maelekezo ya kisera pamoja na kuwazawadia wanaotekeleza kwa ufanisi maelekezo yanayotolewa.
“Watumishi wa Wizara hii tunatakiwa tujiulize tunafanya ubunifu gani ili kuhakisha wahitimu katika ngazi mbalimbali wanapata maarifa yanayotakiwa na wanaoweza kusaidia nchi...

 

5 years ago

CCM Blog

JAFO AUTAKA UONGOZI MPYA WA SHIRIKA LA ELIMU KUWA WABUNIFU



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Shirika la Elimu Kibaha, Prof Rafael Chibunda (kulia) leo jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Robert Shillingi. Waziri wa Nchi Ofis ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara yake, pamoja na Viongozi wapya wa Shirika la Elimu Kibaha baada ya leo kuwakabidhi vitendea kazi. Mwenyekiti wa Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani,...

 

5 years ago

Michuzi

LAZIMA KUWA WABUNIFU KWENYE UKUSANYAJI WA MADUHULI -PROF. KIKULA


Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula ( wa pili kushoto) akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwenye eneo la Sinai Wilayani Mufindi kwenye ziara yake aliyoifanya Mkoani Iringa tarehe 15 Februari, 2020 yenye lengo la kukagua shughuli za uchimbaji wa madini, kusikiliza na kutatua kero za wachimbaji wa madini. Kushoto ni Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Iringa, Mhandisi Abdulrahman Milandu.Mmoja wa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika machimbo ya dhahabu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanadiaspora wapongezwa kwa kusaidia gurudumu la elimu Zanzibar

Afisa Wa Elimu Zanzibar Bw Suleiman 
Yahya Ame kulia, akionesha makala ya kitabu. Na Abou Shatry Washington DC   Jumuiya ya Wazanzibari waishio Nchini Marekani (ZADIA), imepongezwa kwa kusaidia gurudumu la maendeleo ya Elimu visiwani Zanzibar.   Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Zanzibar Bw. Suleiman Yahya Ame wakati wa kupokea mchango wa vitabu vya Ufundi na Mafunzo ya Amali uliotolewa na ZADIA kwa ajili ya shule za ufundi visiwani humo.   Akizungumza kama mgeni rasmi...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazazi wapongezwa muamko wa elimu

WAZAZI mkoani hapa wamepongezwa kwa kuwa na muamko wa kuwasomesha watoto wao katika shule zinazokidhi mahitaji ya wanafunzi bila kujali hali duni za familia zao. Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAPIMA AFYA BURE KWA WAKAZI WA MKOA GEITA

Kaimu Meneja wa Mafao ya Matibabu Dk. Lucy Simbila akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mgeni Rasmi Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Geita Dk. Ndinisyu Daniel (kushoto) kufungua zoezi hilo. Wengine ni Dr. Ali Mzige (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Bw.Shaban Mpendu, Meneja wa NSSF Mkoa wa Geita na Mwisho ni Regional Aids Control Cordinator (RACC), Elisande Shumbi. wakazi wa Geita wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupima Afya zao.

Meneja wa NSSF GEITA, Bw. Shaban Mpendu akimsikiliza kwa makini  Dr....

 

10 years ago

Michuzi

NHIF NA PSPF WATOA ELIMU KWENYE MKUTANO MKUU WA VIONGOZI WA CWT MKOA WA LINDI

 Meneja wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Fortunata Raymond akitoa elimu kuhusu maboresho yanayoendelea kufanywa na mfuko mbele ya viongozi na wawakilishi wa chama cha walimu mkoa wa Lindi,wakati wa mkutano wa mwaka wa chama hicho,ambapo alisema kwa sasa katika kukabiliana na changamoto ya huduma ya dawa mfuko umeanzisha mkopo wa dawa na vitendanishi kwa vituo vilivyosajiliwa na mfuko, ambapo bodi ya wakurugenzi iliridhia kutolewa kwa mikopo hiyo tangu mwezi Oktoba.2014.Mkutano huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani