MKOA WA KAGERA WACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA EBOLA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe akitoa ufafanuzi namna Serikali livyojipanga kukabiliana na ugonjwa wa Ebola mkoani humo kwa kuongeza vifaa kinga na kuwawezesha kielimu wataalam wa afya wanaofanya kazi ya uchunguzi wa dalili za ugonjwa huo walioko katika vituo vya ukaguzi mpakani. Afisa Afya wa Kituo cha Ukaguzi cha Kabanga, mpakani mwa Tanzania na Burundi Bw. Amos Mangaluke akipitia fomu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi02 Aug
5 years ago
CCM BlogMKUU WA MKOA TABORA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Kauli hiyo imetolewa na na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye mkutano maalumu wa aliouitisha kujadili mikakati ya kupambana na jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.
Aliwataka wananchi wote mkoani humo kuungana pamoja katika utekelezaji wa mapambano hayo na kuchukua...
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
10 years ago
Michuzi.jpg)
MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka
JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...
11 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
11 years ago
BBCSwahili29 Sep
UK yaondoa tahadhari dhidi ya raiya wake
5 years ago
Michuzi
MADEREVA CHUKUENI TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Na WAMJW- MBEYA.
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea kuwaasa madereva wa vyombo vya usafiri kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Kitengo cha Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Anyitike Mwakitalima wakati wa uhamasishaji kwa wananchi wa kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya maambukizi ya...
10 years ago
Michuzi
TAHADHARI MUHIMU DHIDI YA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO
