MKUTANO WA WADAU WA MRADI WA MANJANO DREAM MAKERS
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions africa Mama Shekha Nasser Akieleza Jambo wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mradi wa Manjano Dream Makes akiwa Pamoja na Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila.Lengo la Mkutano huo ilikuwa ni kuwakutanisha Dream Makers Pamoja Mantor's Wao ,Uongozi Na Wafanyakazi wa Manjano Foundation na Mkufunzi wa Maswala ya Biashara kwa lengo la kutadhimini Maendeleo ya Mradi huo Tangu Ulipoanzishwa Pamoja na Changamoto Mbalimbali wanazokutana nazo wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziGEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU
10 years ago
VijimamboMKUTANO MAALUM WA WADAU WA FILAMU ZA MAADILI
Asalaam Alaaikum Warhmatullah Wabarakatuhu
Tunapenda kuwajulisha wadau wa maadili movies nchini kutakuwa na mkutano wa mkubwa utakaofanyika tarehe 31 Mai 2015 kuanzia saa 2.00 asubuhi ukumbi wa Jaffar Complex uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es salaam
AGENDA ZA MKUTANO
Kuandaa daftar la orodha ya wasanii na kuchagua rasmi aina ya mfumo wa filamu zetu na mengineyo
Kuchagua uongozi wa wa muda...
9 years ago
VijimamboMkutano wa Wadau wa sekta ya Mbolea nchini
10 years ago
GPL11 years ago
MichuziTANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU PSPF
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU Mfuko wa Pensheni wa PSPF unatangaza kwamba kutakuwa na Mkutano Mkuu wa tatu wa wadau utakaofanyika tarehe 26 na 27 Februari 2014 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi jioni katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo barabara ya Shaban Robert jijini Dar es salaam.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya hesabu ya mwaka na utendaji wa Mfuko na kutathmini mafanikio na...
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Pinda afungua mkutano wa tano wa wadau wa NSSF
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Tibenda, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati...
10 years ago
MichuziTTCL YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA WADAU WA MAWASILIANO
10 years ago
GPLMHE. PINDA KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA PSPF