Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mliokopeshwa matrekta Suma lipeni haraka’

Serikali imewataka watu waliokopa matrekta kutoka Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SumaJKT), kulipa madeni yao mara moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

TUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi

RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba ameitaka Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kuwalipa wafanyakazi wake malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ndani ya...

 

11 years ago

Habarileo

‘Polisi, Magereza lipeni bili za maji’

MKUTANO mkuu wa wanahisa wa watumia maji Kiliwater, umeagiza watu binafsi na taasisi za serikali, ikiwemo Jeshi la Polisi na Magereza kulipa madeni yao yanayofikia zaidi ya Sh milioni 20, kutokana na kuwa kikwazo cha kudhoofisha huduma ya maji wilayani Rombo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wafanyabiashara lipeni kodi kwa wakati’

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, amewataka wafanyabiashara nchini kulipa kodi kwa wakati. Dk. Kigoda alitoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati wa ufungunzi wa ukumbi wa mikutano...

 

10 years ago

Habarileo

Kondoa, Mbarali wapewa matrekta

WA K U L I M A wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma na Mbarali mkoani Mbeya, wamekabidhiwa matrekta manne ambayo ni mkopo kutoka kwa kituo cha kusambaza matrekta kwa wakulima cha Kariati Matrekta, huku wakitakiwa kuyatumia katika kuleta maendeleo katika kilimo.

 

10 years ago

Michuzi

wakulima 7 wakabidhiwa matrekta leo

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi
funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji,matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi wa
Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee) Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta kwa Dk. Edmund Mndolwa ambaye ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ikiwa sehemu ya matrekta saba yaliotolewa na Alhaji Omari Kariati Diwani wa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Msitoze riba mikopo ya matrekta’

SERIKALI imeziagiza kampuni zinazokopesha vifaa vya kilimo yakiwemo matrekta madogo (power tiller) na makubwa kwa wakulima, kuacha mara moja kutoza riba kwa mikopo kwa vile vifaa hivyo vimefutiwa kodi. Katika hatua nyingine, serikali nayo imeombwa kuondoa ushuru wa kodi kwa matela ya matrekta, hususani ya power tiller ili kuwapunguzia gharama za ununuzi wakulima hatua itakayoharakisha mipango ya kuingia kwenye kilimo cha kisasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Equator SumaJKT kuleta matrekta nchini

KAMPUNI ya Equator SumaJKT imesaini mkataba wa ushirikiano wa kuleta matrekta nchini wenye thamani ya dola milioni 70 na Kampuni ya Farmer kutoka nchini Poland. Akizungumza na waandishi wa habari...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania sasa mbioni kuzalisha matrekta

Kampuni ya Equator Suma JKT yenye ubia na Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa, imesaini mkataba na kampuni ya Farmer kutoka nchini Poland utakaowezesha uzalishaji wa matrekta Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha matrekta kujengwa Tanzania

Kampuni ya Ursus ya Poland imesema ina mkakati wa kujenga kiwanda cha kutengeneza matrekta Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Suma JKT.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani