Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Polisi, Magereza lipeni bili za maji’

MKUTANO mkuu wa wanahisa wa watumia maji Kiliwater, umeagiza watu binafsi na taasisi za serikali, ikiwemo Jeshi la Polisi na Magereza kulipa madeni yao yanayofikia zaidi ya Sh milioni 20, kutokana na kuwa kikwazo cha kudhoofisha huduma ya maji wilayani Rombo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANGA UWASA YAWEKA BAYANA VISABABISHI VYA BILI KUBWA ZA MAJI



Sehemu ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) wakiwa kwenye maandamano kuelekea kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga.Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo Devota Mayala kulia akitoa ufafanuzi wa huduma za mamlaka hiyo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari wakati alipotembelea banda lao kwenye eneo la viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa ilifanyika eneo hilo.Sehemu ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020  katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiwa meza kuu pamoja na Viongozi Waandamizi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri: Magereza, polisi hakuna upendeleo

Wizara ya Mambo ya Ndani imekanusha madai ya kuwapo kwa upendeleo katika jeshi la polisi kuhusu watumishi kujiendeleza kimasomo.

 

9 years ago

Mwananchi

Deni la Sh1.13 bilioni kuziponza Polisi, Magereza

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (Muwsa), imetoa siku 14 kwa taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro, kulipa malimbikizo ya madeni yanayofikia Sh1.13 bilioni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi

RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba ameitaka Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kuwalipa wafanyakazi wake malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ndani ya...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Mliokopeshwa matrekta Suma lipeni haraka’

Serikali imewataka watu waliokopa matrekta kutoka Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SumaJKT), kulipa madeni yao mara moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wafanyabiashara lipeni kodi kwa wakati’

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, amewataka wafanyabiashara nchini kulipa kodi kwa wakati. Dk. Kigoda alitoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati wa ufungunzi wa ukumbi wa mikutano...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...

 

11 years ago

CloudsFM

KAMANDA WA POLISI KINONDONI AZUNGUMZIA TUKIO LA BASI LA MAGEREZA KUSHAMBULIWA KWA RISASI

GARI la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu likitokea Mahakama ya Mwanzo Kawe kwenda Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, limeshambuliwa kwa risasi na mtu asiyefahamika.Wakati tukio hilo likitokea jana mchana maeneo ya Mikocheni na kusababisha askari Magereza wawili, akiwemo dereva na mahabusu kujeruhiwa, aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat, alifariki dunia kwa kujipiga risasi.
Kamanda wa Polisi, mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, akithibitisha tukio la gari la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani