Mlipuko wapiga jengo la usalama Misri
Mlipuko mkubwa umepiga jesgo la usalama nchini Misri na kusababisha vifo vya watu 14 na 100 kujeruhiwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Mlipuko wapiga ngome ya Hizbollah
Watu wawili wameripotiwa kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa kufuatia mlipuko katika ngome kuu ya Hezbollah kusini mwa Beirut
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
Mlipuko kwenye basi la watalii Misri
Taarifa kutoka nchini Misri zinasema kuwa mlipuko kwenye basi katika rasi ya Sinai umewaua watu 3.
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Mlipuko watokea kambi ya Polisi Misri
Mtu mmoja ameuawa na wengine 24 wamejeruhiwa baada ya Mtu mmoja kujitoa muhanga akilenga Kambi ya Polisi, Maafisa wameeleza.
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Polisi 6 wauawa katika mlipuko Misri
Polisi 6 wameuawa katika mlipuko uliotokea barabarani katika rasi ya Sinai Misri
10 years ago
GPLMLIPUKO WAUA MAOFISA WA POLISI MISRI
Maofisa wa polisi wakiwa eneo ulipotokea mlipuko huo. MAOFISA wawili wa polisi wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea leo kwenye wilaya ya Bulaq Abu-al-Ila jirani na Wizara ya Mambo ya Nje jijini Cairo nchini Misri. Mlipuko huo umetokea katika mtaa uliojaa watu wengi jirani na Mto Nile na bomu hilo linadaiwa kutegwa chini ya mti uliokuwa katika eneo hilo. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na shambulio hilo....
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Mlipuko wawaua watu wawili nchini Misri
Kumekuwa na mlipuko karibu na jumba la wizara ya maswala ya kigeni nchini Misri.
10 years ago
BBCSwahili25 Nov
Jengo laanguka, Kumi wafa Misri
Watu kumi wapoteza maisha nchini Misri baada ya Jengo la ghorofa nane kuanguka Cairo
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Maafisa 4 wa usalama wauawa Misri
Maafisa wanne wa usalama nchini Misri wameuawa katika shambulio la uendeshaji kulingana na maafisa wa usalama.
11 years ago
BBCSwahili25 Jan
Kero la usalama nchini Misri
Vikosi vya usalama viko katika hali ya tahadhari wakati makundi hasimu nchini Misri ikitarajiwa kuadhimisha miaka 3 ya kung'olewa kwa Hosni Mubarak.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania