Mlipuko wapiga ngome ya Hizbollah
Watu wawili wameripotiwa kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa kufuatia mlipuko katika ngome kuu ya Hezbollah kusini mwa Beirut
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Dec
Mlipuko wapiga jengo la usalama Misri
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC
5 years ago
MichuziWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC
9 years ago
Mtanzania05 Sep
Lowassa atikisa ngome ya Zitto
NA MAREGESI PAUL, KIGOMA
MAFURIKO ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana yalihamia katika Mji wa Kigoma ambako Zitto Kabwe anagombea ubunge kupitia Chama cha ACT- Wazalendo.
Kama ilivyokuwa katika maeneo mengine alikopita mgombea huyo, umati mkubwa ulijitokeza katika mkutano wake wa kampeni za urais uliofanyika katika uwanja wa mikutano wa Mwanga ambao umewashangaza hata wakazi wa eneo hilo waliosema ni aghalabu uwanja huo kujaa.
Akizungumza...
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
AU yateka ngome ya mwisho ya Al shaabab
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/FRECNH-1-1024x518.jpg)
UFARANSA YASHAMBULIA NGOME YA IS, SYRIA
9 years ago
Mtanzania16 Sep
CCM yaiteka ngome ya CUF
Waandishi Wetu, Zanzibar na Dar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitikisa ngome kuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika Kisiwa cha Pemba.
Pemba ni ngome ya chama hicho cha upinzani visiwani Zanzibar kutokana na kuwa na nguvu kubwa, huku CCM ikiwa na mizizi Unguja.
Mkutano wa CCM uliofanyika jana katika Uwanja wa Gombani ya Kale Mkoa wa Kaskazini Pemba Wilaya ya Chakechake, inaweza kutafsiriwa kuwa ilitingishwa kutokana na umati mkubwa...
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Wanajeshi Wakurdi waiteka ngome ya IS
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Ngome ya al-Shabaab yadhibitiwa Somalia