Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MMASAI APIGWA PEMBE LA TUMBO NA NG’OMBE

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro MAUMIVU! Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Sita Lumembe (36), mkazi wa Kijiji cha Ludewa wilayani Kilosa mkoani hapa, amefikishwa hospitalini akiwa hoi baada ya kupigwa pembe la tumbo na mmoja wa ng’ombe wake aliokuwa akiwachunga. Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Sita Lumembe (36), mkazi wa Kijiji cha Ludewa wilayani Kilosa mkoani Morogoro aliyepigwa pembe la tumbo na mmoja wa ng’ombe wake...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kutoka maisha ya mtaani mpaka ubunifu wa bidhaa za pembe za ng'ombe

Kijana aliyekulia mitaani anavyotengeneza sahani, vijiko ,vikombe na aina mbalimbali za mapambo vipuli na bidhaa nyingine.

 

9 years ago

Bongo5

Mwanamke wa Kichina maarufu kama ‘Malkia wa Pembe za Ndovu’ akamatwa nchini akisafirisha pembe zenye thamani ya £1.62m

Mwanamke wa China anayedaiwa kuongoza genge kubwa zaidi la usafirishaji pembe za ndovu barani Afrika amekamatwa nchini. Akipewa jina la utani “Ivory Queen”, Yang Feng Glan anadaiwa kusafirisha pembe za ndovu 706 kutoka nchini kwenda Mashariki ya mbali. Glan, 66, anadaiwa kuwa na ukaribu na majangili wa Afrika Mashariki na walanguzi wa China. Anadaiwa pia […]

 

11 years ago

GPL

MNGONI APOTEA, AIBUKA AKIWA MMASAI

Hamida Hassan na Gladness Mallya Maajabu ya karne! Mtoto aliyezaliwa na wazazi wa kabila la Kingoni (Mngoni), Samson Matei Joseph wa Nguruka Kata ya Nguruma wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipotea miaka miwili iliyopita lakini katika hali ya kushangaza, hivi karibuni ameibuka akiwa ni Mmasai baada ya kusakwa bila mafanikio. Mtoto aliyezaliwa na wazazi wa kabila la Kingoni (Mngoni), Samson Matei Joseph wa Nguruka Kata ya Nguruma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Mmasai wa Kigoma’ aibuka na ‘Tatizo Mtonyo’

MSANII chipukizi wa hip hop, Nyembo Ayoub, maarufu kama ‘Mmasai wa Kigoma’ aliyeamua kutumia staili na vionjo vya marehemu Mr. Ebbo, amefyatua kibao cha pili kinachokwenda kwa jina la ‘Tatizo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe TZ

Wanawake Tanzania wapiga hatua na kujiimarisha katika mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe.

 

10 years ago

Bongo5

YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili. Akizungumza ba BONGO 5 jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa […]

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU CHINI YA TUMBO

Tatizo la maumivu chini ya tumbo huwasumbua baadhi ya wanawake huku vyanzo halisi vya maumivu vikiwa vingi tu. Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama tutakavyoona. Maumivu huwapata wasichana ambao tayari wameshavunja ungo na wanawake watu wazima, ingawa hata wasichana wadogo ambao bado hawajavunja ungo husumbuliwa. CHANZO CHA TATIZO
Chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa...

 

10 years ago

GPL

JE, VIDONDA VYA TUMBO VINATIBIKA?-3

Wiki iliyopita tulizungumzia sana madhara yanayoweza kumkuta mtu mwenye vidonda vya tumbo. Lakini leo sanasana tutaweza kuangalia dalili kubwa za tatizo hili ni zipi na mtu anapoziona katika mazingira yake ya kawaida basi aweze kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuweza kuliondoa tatizo hili kwa urahisi kabisa. DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za tatizo hili la vidonda vya tumbo hutegemeana sana na tatizo linakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani