Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mmasai wa Kigoma’ aibuka na ‘Tatizo Mtonyo’

MSANII chipukizi wa hip hop, Nyembo Ayoub, maarufu kama ‘Mmasai wa Kigoma’ aliyeamua kutumia staili na vionjo vya marehemu Mr. Ebbo, amefyatua kibao cha pili kinachokwenda kwa jina la ‘Tatizo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MNGONI APOTEA, AIBUKA AKIWA MMASAI

Hamida Hassan na Gladness Mallya Maajabu ya karne! Mtoto aliyezaliwa na wazazi wa kabila la Kingoni (Mngoni), Samson Matei Joseph wa Nguruka Kata ya Nguruma wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipotea miaka miwili iliyopita lakini katika hali ya kushangaza, hivi karibuni ameibuka akiwa ni Mmasai baada ya kusakwa bila mafanikio. Mtoto aliyezaliwa na wazazi wa kabila la Kingoni (Mngoni), Samson Matei Joseph wa Nguruka Kata ya Nguruma...

 

11 years ago

GPL

MMASAI APIGWA PEMBE LA TUMBO NA NG’OMBE

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro MAUMIVU! Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Sita Lumembe (36), mkazi wa Kijiji cha Ludewa wilayani Kilosa mkoani hapa, amefikishwa hospitalini akiwa hoi baada ya kupigwa pembe la tumbo na mmoja wa ng’ombe wake aliokuwa akiwachunga. Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Sita Lumembe (36), mkazi wa Kijiji cha Ludewa wilayani Kilosa mkoani Morogoro aliyepigwa pembe la tumbo na mmoja wa ng’ombe wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiba, Diamond mtonyo uko hapa

Wanadai hawajagombana, lakini kama utawasikiliza kwa makini wanapozungumzia tetesi kwamba wana tofauti, utagundua kitu kati yao.

 

11 years ago

GPL

OYAA... FUATA ONYO FANYA MAMBO YA MTONYO!

Oyooo...Masela inakuwaje? Kitaa hii mzuka mwingi hadi unamwagika. Ama nini? Wanangu kitu cha Pasaka kilienda freshi? Ebana nilikuwa na mialiko ya maminuso hadi nimebaki na malawama ya kumwaga kozi nilifeli kutimba. Wamenimaindije? Unajua nini kilihapeni? Ebana dah! Kaka mkubwa nilifungiwa na shemeji yenu kwenye hoteli moko ushuani. Ishu ikawa ni kupiga tu mbizi kwenye swiming puuli kisha madikodiko na mvinyo kwa mbaali...noma...

 

10 years ago

Vijimambo

HICHO NDICHO ALICHOKESEMA MAYWEATHER JUU YA MTONYO WAKE


Floyd Mayweather: “Why Should I Donate Money To Africa”, “What Has Africa Done For Me”?

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani