OYAA... FUATA ONYO FANYA MAMBO YA MTONYO!
![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX0D1GkiWX7xmkyZZSZfLymoEHv8ugHg*1nebFC56hd1h-DPWnWL0Vcq2*MIp7eC9WjEBEElnJx1RBYO0gB9*v5I/mpeke.jpg?width=650)
Oyooo...Masela inakuwaje? Kitaa hii mzuka mwingi hadi unamwagika. Ama nini? Wanangu kitu cha Pasaka kilienda freshi? Ebana nilikuwa na mialiko ya maminuso hadi nimebaki na malawama ya kumwaga kozi nilifeli kutimba. Wamenimaindije? Unajua nini kilihapeni? Ebana dah! Kaka mkubwa nilifungiwa na shemeji yenu kwenye hoteli moko ushuani. Ishu ikawa ni kupiga tu mbizi kwenye swiming puuli kisha madikodiko na mvinyo kwa mbaali...noma...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Tuna imani naye Chenge…oyaa, oyaa!
NIKIWA mmoja wa waandishi waliopata bahati ya kuripoti habari za Bunge Maalum la Katiba (BMK), jambo kumbwa nililojifunza kwa wajumbe kwa ujumla wao wakubwa kwa wadogo ni ‘unafiki’. Mnafiki ni...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Ukitaka kufanikiwa fanya mambo kwa vitendo
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9aQf-qs4m5xV7PVeF*zFWk5LouW8SkB7MCYi2ZECkk5oUq4tSKSrpSVjw9fl2XMJ6zddly*fPtTHqvWweu5YrzWTL2-l*gu0/mpeke.jpg?width=650)
OYAA MASELA... YATIMA HADEKI!
11 years ago
GPLOYAA, MNAJUA KUNA NINI DOM?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX6iPlAqCFTS62WDKXn0cg10OVxBhFg2RQjUbG6iOnF7iuxaCp1hIl3CG9hsnBqT1lKQPxbc0nNB54zi7zKXTgxT/ddkkcopy.jpg)
OYAA PANYA ROAD, MNAJUA MNATUZINGUA WANA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FqGDbclxIaorUWrZfPE3R5yoxB6-WZcMGBik1v7lpxRj3UZm82rYRKJsWQycgnbaYbAf2U7bVzwLZbhI-ZIvelO/1AZAMWEB.jpg?width=650)
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Fuata misingi sio watu
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Fuata misingi sio watu — 3
KATIKA mfululizo wa makala hizi za ZITTO KABWE zilizochapwa kwa mara ya kwanza katika gazeti hili miezi michache iliyopita, wiki iliyopita tumeona ufuasi wa misingi ya Chama cha Demorasia na...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Fuata Misingi sio watu — 2
Katika makala iliyopita tuliona Mbunge wa Kawe Halima Mdee, alivyofanikiwa kupitisha hoja bungeni yenye kutaka tathmini ya ardhi na ugawaji wa ardhi hapa nchini. Ardhi ndio rasilimali pekee ambayo kila...