OYAA PANYA ROAD, MNAJUA MNATUZINGUA WANA!
NI kwa blesi za Saa God makachaa tunamiti wansi ageini katika kijiwe chetu cha kujipa maraha, ama nini? Najua kitu cha mwezi dume, apecha alolo ndo kinasogea kwa mbaliii. Makidi wanataka kwenda skonga, fulu kutaka mazagazaga ya skuli nini na nini, shigidishida! Mbaya zaidi wao hawajui kama jua limewakia mifukoni, mifuko imetoboka chezea mbishe za Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya! Wao wanakomaa tu ili watimize wajibu wao wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLOYAA, MNAJUA KUNA NINI DOM?
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Tuna imani naye Chenge…oyaa, oyaa!
NIKIWA mmoja wa waandishi waliopata bahati ya kuripoti habari za Bunge Maalum la Katiba (BMK), jambo kumbwa nililojifunza kwa wajumbe kwa ujumla wao wakubwa kwa wadogo ni ‘unafiki’. Mnafiki ni...
10 years ago
CloudsFM05 Jan
Panya Road 36 mbaroni
Vijana wa kikundi hicho wenye umri wa kati ya miaka 16 mpaka 30, walizua vurugu katika maeneo mbalimbali ya jiji na kusababisha baadhi ya shughuli kusitishwa kwa muda.
Wananchi walikuwa na hofu ya kuvamiwa na wahalifu wa kikundi hicho, waliokuwa wanapiga watu, kupora na kuharibu magari.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Panya Road waivuruga Dar
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Na Waandishi Wetu
GENGE la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu jijini Dar es Salaam linalofahamika zaidi kwa jina la Panya Road, jana usiku lilivamia maeneo mbalimbali ya jiji na kufanya vitendo vya uhalifu.
Taarifa za kufanyika kwa vitendo hivyo vya uhalifu zilifika katika chumba cha habari cha gazeti la MTANZANIA Jumamosi saa 2.00 usiku na dakika chache baadaye zilisambaa katika mitandao ya kijamii huku zikiwa...
10 years ago
TheCitizen10 Jan
‘Panya Road’: Possible economic causes and solutions
10 years ago
Habarileo06 Jan
Panya Road 510 mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 510 wakiwemo viongozi watatu wa kundi linalojihusisha na uhalifu la ‘Panya Road’ .
10 years ago
AllAfrica.Com06 Jan
500 Arrested Over 'Panya Road'
IPPmedia
500 Arrested Over 'Panya Road'
AllAfrica.com
POLICE in Dar es Salaam have arrested 510 youth, suspected of being members of a criminal group known as 'panya road,' who are alleged to have invaded and attacked people in the city on Friday evening. Special Zone Police Commander Suleiman Kova ...
510 'panya road' netted in Dar es SalaamIPPmedia
Tanzanian police arrest 36 in connection with gang violenceSabahi Online
all 18
11 years ago
Mwananchi29 May
Wazazi wa ‘Panya road’ wakamatwa
10 years ago
Mtanzania06 Jan
Panya Road 500 mbaroni
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewatia mbaroni vijana 500, maarufu Panya Road ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleimani Kova, alisema vijana hao walikamatwa katika operesheni maalumu iliyofanyika katika mikoa mitatu ya kipolisi ya Ilala ambako walikamatwa vijana 104, Temeke (168) na Kinondoni (202).
Alisema operesheni hiyo ilitokana...