Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OYAA, MNAJUA KUNA NINI DOM?

Nianze kwa kuwapa ‘hi’ madenti wote Tanzania nzima, anko wenu nipo katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma kama mmoja wa mashahidi wa nini wale wawakilishi wa makundi mbalimbali ambayo Rais Jakaya Kikwete aliwateua kujumuika pamoja kupitia rasimu ya katiba ili waweze kutengeneza katiba mpya ambayo huenda ni watoto wenu nyinyi au wajukuu zangu mimi, watakaa tena miaka 50 ijayo kuirekebisha kulingana na mazingira ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OYAA PANYA ROAD, MNAJUA MNATUZINGUA WANA!

NI kwa blesi za Saa God makachaa tunamiti wansi ageini katika kijiwe chetu cha kujipa maraha, ama nini? Najua kitu cha mwezi dume, apecha alolo ndo kinasogea kwa mbaliii. Makidi wanataka kwenda skonga, fulu kutaka mazagazaga ya skuli nini na nini, shigidishida! Mbaya zaidi wao hawajui kama jua limewakia mifukoni, mifuko imetoboka chezea mbishe za Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya! Wao wanakomaa tu ili watimize wajibu wao wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasanii mnajua kuna tatizo la ajira, mnaheshimu kazi zenu?

Asilimia 60 ya vijana wa nchi za Kiafrika hawana ajira. Ripoti mbalimbali zinaonyesha zaidi ya nusu ya vijana walio na umri chini ya miaka 25 katika nchi zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara hawana kazi za kuajiriwa, wengi wao ni wabangaizaji.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuna imani naye Chenge…oyaa, oyaa!

NIKIWA mmoja wa waandishi waliopata bahati ya kuripoti habari za Bunge Maalum la Katiba (BMK), jambo kumbwa nililojifunza kwa wajumbe kwa ujumla wao wakubwa kwa wadogo ni ‘unafiki’. Mnafiki ni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je kuna nini kilomita 5 chini ya bahari ?

Wanasayansi wa Uingereza wanapanga kuchimba takriban kilomita 5 chini ya bahari Hindi ilikubaini kunani chini ya sakafu

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

kuna nini Tanzania mwaka huu

Amani na Utilivu imekuwa miongoni mwa sera ya vyama vya siasa hapa Tanzania. Kila mara viongozi wanapopanda majukwaani wanajaribu kwa ghibu kuinadi sera hii. Hadi kwenye ilani za uchaguzi huingizwa suala la Amani na Utulivu bila […]

The post kuna nini Tanzania mwaka huu appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuna nini baadhi ya shule zimefaulisha, zimefelisha?

Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Francis iliyo mkoani Mbeya, ndiyo shule iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa kwa miaka miwili mfululizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kama kuna waganga wa soka makocha wa nini?

MBEYA City, moja ya timu ngeni zilizoonyesha kiwango cha kuvutia tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Agosti 24, mwaka jana, imekuwa tishio kubwa kwa timu nyingine zikiwemo kongwe za...

 

10 years ago

Vijimambo

KUNA NINI AIRASIA NDEGE NYINGINE IKIWA NA ABIRIA 160 YA POTEA



Ndege ya AirAsia
Shirika la ndege la AirAsia linasema kuwa limeanzisha shughuli ya kuitafuta ndege yake iliyopoteza mawasiliano na kituo cha kuelekeza safari za ndege dakika 45 baada ya kuondoka kwenye mji wa Surabaya nchini Indonesia.Zadi ya watu 160 walikuwa ndani ya ndege hiyo ya Airbus 320 iliyokuwa safarini kwenda nchini Singapore.
Wengi wa abiria waliokuwa ndani ya ndege hiyo wanatoka nchini Indonesia.
Msemaji wa wizara ya usafiri nchini Indonesia amesema mawasiliano yalipotea kati ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini kuna shimo lisilo la kawaida katika tabaka la ozoni?

Tukio kama hili ni la kawaida katika eneo la kusini zaidi la dunia la Antarctic wakati wa msimu wa joto, lakini katika eneo la baridi la kaskazini si la kawaida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani