Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukitaka kufanikiwa fanya mambo kwa vitendo

Kheri ya Mwaka mpya mpendwa msomaji wangu, kwa hakikika tunapaswa kumshukuru sana Mungu kutokana na ukweli kwamba haikuwa rahisi kuuvuka mwaka, wapo wenzetu ambao hawakuweza japo walipenda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAPIGA MARUFUKU WAGOMBEA WA VYAMA VYA SIASA KU FANYA VITENDO VINAVYOHATARISHA USALAMA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIAPRESS RELEASE25/08/2015Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limegundua kwamba kuna baadhi ya wagombea wa vyama vya siasa ambao wameanziasha mtindo wa kutembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam kama vile vituo vya daladala, masoko mbalimbali, n.k. kwa madai ya kuyatembelea makundi ya watu wenye kipato cha hali ya chini.
Kutokana na uzoefu uliojitokeza katika ziara hizo zisizo rasmi ni kwamba...

 

11 years ago

GPL

OYAA... FUATA ONYO FANYA MAMBO YA MTONYO!

Oyooo...Masela inakuwaje? Kitaa hii mzuka mwingi hadi unamwagika. Ama nini? Wanangu kitu cha Pasaka kilienda freshi? Ebana nilikuwa na mialiko ya maminuso hadi nimebaki na malawama ya kumwaga kozi nilifeli kutimba. Wamenimaindije? Unajua nini kilihapeni? Ebana dah! Kaka mkubwa nilifungiwa na shemeji yenu kwenye hoteli moko ushuani. Ishu ikawa ni kupiga tu mbizi kwenye swiming puuli kisha madikodiko na mvinyo kwa mbaali...noma...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwa Magufuli, vita dhidi ya mafisadi iwe kwa vitendo

WAHENGA walinena; nyota njema huonekana asubuhi.

Maggid Mjengwa

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo …

Bado siku 18 ili ifikie January 11 2016, siku ambayo tutashuhudia historia mpya ikiandikwa katika ulimwengu wa soka, kwani ndio siku ambayo tutamfahamu mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mwaka 2015, November 30 2015 yalitangazwa majina ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar kuwa ndio waliofanikiwa kuingia katika hatua ya fainali ya […]

The post Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo … appeared first on...

 

9 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa. 
Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tukuze sayansi kwa vitendo

KATIKA mashindano ya utafiti wa sayansi kwa wanafunzi wa somo hili nchini yaliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Shule ya Lumumba ya mjini Unguja ilinyakua nafasi ya kwanza. Shule karibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuboreshe makazi kwa vitendo

MAADHIMISHO ya siku ya makazi duniani yamefanyika jana duniani kote na kubeba kauli mbiu ya sauti kutoka makazi duni. Maadhimisho hayo yanatukumbusha kutumia fursa zitokanazo na ukuaji wa miji kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!

Inawezekana unaanza kushaangaa kuna tofauti gani kufanya vitu kwa usahihi na si kufanya vitu sahihi tu. Hiki kitu inawezekana umekutana nacho kazini kwako au siku moja utakutana nacho katika majukumu ya kila siku hapo ofisini. Mara nyingi watu tunapenda kufanya vitu sahihi ila hatujali hivyo vitu sahihi tumevifanya kwa usahihi au lah. Maeneo ya kazi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani