Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tukuze sayansi kwa vitendo

KATIKA mashindano ya utafiti wa sayansi kwa wanafunzi wa somo hili nchini yaliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Shule ya Lumumba ya mjini Unguja ilinyakua nafasi ya kwanza. Shule karibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tukuze utalii kwa kutangaza amani na usalama

Sekta ya utalii nchini, inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa. Kwa Mkoa wa Arusha sekta hii ndiyo tegemeo la watu wengi. Imeweza kutoa ajira kwa sekta rasmi na hata ambazo zi rasmi.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa siyo uhuni, tukuze vipaji

>Wakati vijana wa kizazi kipya walipoingia katika medani ya muziki, walijikita zaidi katika utamaduni wa magharibi,  hali iliyokuwa haiendani na maadili na utamaduni wa Mtanzania, hivyo  jamii iliichukulia muziki huo kama ni wa kihuni.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwa Magufuli, vita dhidi ya mafisadi iwe kwa vitendo

WAHENGA walinena; nyota njema huonekana asubuhi.

Maggid Mjengwa

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo …

Bado siku 18 ili ifikie January 11 2016, siku ambayo tutashuhudia historia mpya ikiandikwa katika ulimwengu wa soka, kwani ndio siku ambayo tutamfahamu mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mwaka 2015, November 30 2015 yalitangazwa majina ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Neymar kuwa ndio waliofanikiwa kuingia katika hatua ya fainali ya […]

The post Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo … appeared first on...

 

9 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

Wahandisi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wanaonolewa katika kutambua nguzo bora za kusambazia umeme wameanza mafunzo ya vitendo ya ukaguzi na utambuzi wa nguzo bora na salama katika baadhi ya viwanda vya kuzalishia nguzo hizo mkoani Iringa. 
Ziara ya wahandisi hao wa TANESCO inalenga katika kuwawezesha katika kukabiliana na matumizi ya nguzo zisizo na ubora na ili kuongeza ufanisi na usalama katika zoezi la kusambaza umeme nchini.
Wahandisi hao wamepata fursa ya kutembela kiwanda cha Sao...

 

10 years ago

Michuzi

JK apokea vitabu vya sayansi kwa shule za Sekondari vilivyochapishwa kwa msaada wa watu wa marekani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuboreshe makazi kwa vitendo

MAADHIMISHO ya siku ya makazi duniani yamefanyika jana duniani kote na kubeba kauli mbiu ya sauti kutoka makazi duni. Maadhimisho hayo yanatukumbusha kutumia fursa zitokanazo na ukuaji wa miji kwa...

 

11 years ago

Michuzi

TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR

Taasisi isiyo ya kiserikali ya TAI - Tanzania Aspiration Initiatives imefanya mafunzo ya kulinda afya kwa vitendo kwa wanafunzi Zaidi ya 200 wa Darasa la Kwanza, la pili na darasa la awali katika shule ya msingi Kilimani iliyopa Sinza Uzuri wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa miradi miwili inayojulikana kama Mikono Ming’avu (MiMi) na Kinywa Kisafi (KiKi).
Miradi yote ina lengo kuu la kupambana na magonjwa yanayoweza kuzuilika kama Magonjwa ya tumbo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani