MMILIKI WA SALUTI5 AFIWA NA MAMA YAKE
![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB*LulH3Pl368Cn97qbP5N1S6r9xqf5n6nMUIC0ZVuwfpfaTaxS-UD07b4rGdsp3Wfn*nX-1EAf2QnCICBbnDaQS/85b77338ef92a525bbfc65aa379c16c5_L.jpg)
Marehemu Bi Desta Mohamed enzi za uhai wake. Mmiliki wa mtandao wa Saluti5, Said Mdoe (kushoto) akiwa na mama yake. MAMA mzazi wa mmiliki wa mtandao wa Saluti5, Said Mdoe - Bi Desta Mohamed - amefariki ghafla Jumatatu ya tarehe 31/3/2014 saa 1 za jioni. Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
![IMG_3895](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_3895.jpg)
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Tido afiwa na mama yake mzazi
11 years ago
Michuzi24 Apr
mpiganaji cecy jeremiah afiwa na mama yake
Ahsante, Katibu Mkuu TASWA 24/04/2014
9 years ago
Bongo505 Oct
Sheria Ngowi afiwa na mama yake mzazi
10 years ago
Michuzi08 Apr
TANZIA: Mpiganaji Masoud Sanani afiwa na mama yake mzazi huko Pemba
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377. Katibu Mkuu TASWA
10 years ago
Michuzi24 May
TANZIA: MAMA BISHANGA AFIWA NA KAKA YAKE MKUBWA CASIMU JAFFER MANJI "JALEJALE"
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s72-c/mama+halima.jpg)
TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-e5Ej3RD5PYs/UzotxxsfpuI/AAAAAAAFXnw/TNu9uLxH_-s/s1600/mama+halima.jpg)
Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Mayunga Nalimi afiwa na mama
MSHINDI wa shindano ya muziki la Airtel Trace Star, Nalimi Mayunga, amefiwa na mama yake aliyekuwa akiishi mkoani Tabora.
Katika ukurasa wake ya facebook msanii huyo alituma picha akiwa katika basi la kuelekea Tabora na maneno yalisomeka kwamba: “Mwenyezi Mungu tunakuomba utufanyie wepesi katika safari yetu hii kuelekea Tabora natuweze kumuhifadhi salama mama yangu inshallah na ninakushukuru kwa kila jambo unipangialo kwani ni wewe pekee unayejua kesho ya mwanadamu na hatima yake, mpokee...