Mnigeria ashikwa na ‘mzigo wa maana’ JNIA
Jeshi la Polisi limemkamata raia wa Nigeria kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya ambazo thamani yake ni kubwa ingawa haijajulikana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMNYAMA ASHIKWA SHARUBU JIJINI MBEYA
Mshambuliaji hatari wa Simba SC, Amissi Tambwe akiwania mpira na mchezaji wa Prison. Mashabiki wa Simba wakiishangilia timu yao ndani ya uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya.…
10 years ago
GPLIYOBO ASHIKWA NA KIGUGUMIZI KUHUSU MUME WA AUNT
Chande Abdallah/Uwazi
DANSA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo ambaye anatajwa kuwa mpenzi wa msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameshikwa na kigugumizi kuhusu tuhuma za kumpachika mimba Aunt ambaye ni mke wa mtu. Dansa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo akiwa na Aunt Ezekiel. Mose alionesha kigugumizi hicho baada ya kutaitiwa na paparazi wetu...
10 years ago
VijimamboDADA WA KITANZANIA ASHIKWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO NIGERIA
According to report reaching us, a woman was nabbed with kilos of hard drugs. Money is very good, but the love of money is the root of all evil. Madam Chinelo just found out. The plan by the food vendor who inserted 685 grammes of cocaine in her private part, to beat operatives of the NDLEA at the Murtala Muhammed International Airport, Ikeja, has been foiled, as she was arrested. Chinelo Okorom Lynnette, 36, was arrested during inward screening of passengers on an Ethiopian Airline from...
10 years ago
GPLMNIGERIA AOZA PENZI LA JOKATE
Stori:Â Hamida Hassan na Gladness Mallya
Kutoka moyoni! ‘Ubuyu’ mpya mjini ni madai ya staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akilitamani penzi la staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. Staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akiwa na staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. MNIGERIA ABEMBELEZA
Habari kutoka kwa...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Mnigeria kizimbani dawa za kulevya
RAIA wa Nigeria, Anthony Okafor (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 124.4.
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Tineja Mnigeria kupokonywa dhahabu
Chika Amalaha, mshindi wa dhahabu ya unyanyuaji uzani Glasgow atapokonywa dhahabu yake leo
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mnigeria atwaa ubingwa wa dunia wa Scrabble
Raia mmoja wa Nigeria amewashangaza ulimwengu wa mchezo wa kujenga maneno ya kizungu -Scrabble, kwa kumshinda muingereza na kuibuka bingwa wa dunia.
10 years ago
GPLMNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI
Stori: Sifael Paul na Imelda Mtema Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipoti) ya kuishi nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara raia wa Nigeria. Video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’. MWANAUME KAMWINGIZA MKENGE?
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania