Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika: Rais atekeleze agizo lawananchi wa Ubungo

Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatiwa wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mnyika:Rais atekeleze agizo lake kwa wananchi wa Ubungo

  Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatiwa wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika: JK atekeleze ahadi zake

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA) amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha anatimiza ahadi anazozitoa mbele ya wananchi, ikiwemo kuonana na mbunge huyo ili kushughulikia matatizo ya maji yanayolikumba jimbo la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika awafunda wanawake Ubungo

NAIBU Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bara, John Mnyika, amesema ushindi mkubwa wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa, utawapa nguvu madiwani na wabunge kutetea...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika ‘amvaa’ Kikwete kilio cha maji Ubungo

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatia wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Korogwe watekeleza agizo la Rais

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo, amesema wilaya yake imetekeleza agizo la Rais la ujenzi wa maabara kwa asilimia 65. Gambo aliyasema hayo hivi karibuni katika ya...

 

9 years ago

Michuzi

HIF YATEKELEZA AGIZO LA RAIS JK

   Msanii John Kitime akipokea kadi ya matibabu itakayomwezesha kupata huduma kote nchini.  Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Rehani Athumani akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusiana na utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo    Baadhi ya wasanii waliohudhuria hafla hiyo pamoja na waandishi wa habari.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Mtanzania

Azam FC watekeleza agizo la Rais

picha pg 32NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

TIMU ya Azam FC jana ilitekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli la kufanya usafi wakati wa maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika.

Katika kutekeleza agizo hilo, Azam saa 12.30 asubuhi ilitembelea Zahanati ya Chamazi na kufanya usafi kwa muda wa takribani saa mbili na nusu.

Wachezaji wa Azam kwa kushirikiana na wafanyakazi na viongozi walishiriki zoezi hilo, ambapo watu mbalimbali wanaoishi maeneo ya karibu na...

 

9 years ago

Mtanzania

CAG akiuka agizo la Rais Magufuli

cag-mussa*Adaiwa kutumia Sh milioni 15 kwa siku tatu

Na Masyaga Matinyi

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad, amekiuka agizo la Rais Dk. John Magufuli, baada kusafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu.

Vyanzo vya habari kutoka ofisini kwake, vimedai kuwa CAG aliondoka nchini Jumamosi (Desemba 12, 2015) kwenda jijini Nairobi, Kenya na kurejea nchini Jumanne wiki hii.

Taarifa hizo, zimesema CAG alikwenda kutoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Nairobi, kazi ambayo...

 

9 years ago

Michuzi

NHC WATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani