Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOHAMED MORSI AHUKUMIWA KIFO

Aliyekuwa rais wa Misri na kiongozi wa Kundi la Kiislam Muslim Brothehood. Wafuasi wa Morsi. Maandamano ya kupinga utawala wa Morsi nchini Misri.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Misri: Muhammad Morsi ahukumiwa Kifo

Mahakama moja nchini Misri imemhukumu kunyongwa rais wa zamani Muhammad Morsi, kwa kosa la kupanga njama ya kuvunja gereza

 

10 years ago

StarTV

Mohammed Morsi ahukumiwa kunyongwa.

Mahakama moja nchini Misri imetoa amri ya kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi.

Mahakama hiyo ilimpata na hatia aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi kufuatia kuvunjwa kwa magereza mwaka wa 2011.

Kauli hii ni msumari katika kidonda cha Morsi ambaye alikuwa tayari anatumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kuamrisha kukamatwa kwa waandamanaji waliopinga utawala wake.

Morsi aling’olewa mamlakani na jeshi mwezi Julai mwaka wa 2013 kufuatia kipindi kirefu cha maandamano dhidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

Habari za hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Morsi ahukumiwa miaka 20 jela

Rais wa Zamani wa Misri, Mohammed Morsi.Makahama nchini Mirsi imemhukumu aliyekuwa rais wa zamani Mohammed Mosri kifungo cha miaka 20 gerezani kutokana na kuuawa kwa waamdamanaji wakati akiwa madarakani.

 

10 years ago

GPL

RAIS WA ZAMANI WA MISRI MOHAMED MORSI KWENDA JELA MIAKA 20

Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi.
Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya kusababisha kuuliwa waandamanaji mwaka 2012. Korti ya makosa ya jinai mjini Cairo imetoa hukumu hiyo wakati Morsi na watuhumiwa wengine katika kesi hiyo, wengi wao wakiwa viongozi wa chama cha Udugu wa kiislam wakisimama ndani ya tundu la vigae katika ya ukumbi wa mahakama katika Chuo cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hukumu ya kifo yathibitishwa kwa Morsi

Mahakama ya Misri imethibitisha adhabu ya kifo kwa rais wa zamani wa nchi hiyo Mohammed Morsi na wenzake kadha

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA BROTHERHOOD AHUKUMIWA KIFO

Baadhi ya jamaa wa watuhumiwa waliohukumiwa kifo walizirai baada ya kupokea taarifa. Baadhi ya jamaa wa watuhumiwa waliohukumiwa kifo walizirai baada ya kupokea taarifa
Jaji wa mahakama nchini Misri, amewahukumu kifo watu 683 akiwemo kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie. Mawakili wa watuhumiwa wanasema kuwa wateja wao walikabiliwa na makosa mengi yakiwemo, kushambulia kituo cha polisi mjini Minya mwaka 2013...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mshambuliaji wa Boston ahukumiwa kifo

Meya wa mji wa Boston amesema kuwa hukumu ya kifo aliyopewa mshambuliaji itawapa nafuu wale wote walioathiriwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani