Motisun yaongeza uimara maradufu mabati ya Kiboko Imara
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Motisun Group Subhash Patel (wapili kushoto) akiwasha mshumaa pamoja na wawakilishi wa makampuni tanzu za Motisun Group kuashiria uzinduzi wa mabati ya Kiboko Imara. Hafla ya uzinduzi ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar-es-salaam.
Balozi wa mabati ya Kiboko Jacob Steven ‘JB’ akicheza ngoma ya asili na kikundi cha KP traditional dance katika uzinduzi wa mabati ya Kiboko Imara yanayotengenezwa na kampuni ya MMI STEEL. Hafla ya uzinduzi ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA AFRICAN ALLUMIUM (ALAF), IMEZINDUA MABATI AINA YA ROYAL VERSATILE
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Hoja ya uimara wa CCM kama kura zingepigwa Jumapili Ijayo
NCHI yetu inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.
Maggid Mjengwa
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
UNHRC:Idadi ya wahamiaji imeongezeka maradufu
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Netflix yarekodi watumizi maradufu ya ilivyotarajia
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Bei ya gesi kupanda maradufu Ukraine
9 years ago
StarTV18 Nov
Ulinzi kuimarishwa maradufu Santiago Bernebeu Jumamosi Â
Kufuatia tukio la kigaidi lililotokea nchini Ufaransa Ijumaa iliyopita ulinzi mkali umeimarishwa mara dufu kuelekea mechi ya kwanza ya El Clasico kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu.
Duru za kiusalama zinasema kuwa mkuu wa Manispaa ya mji wa Madrid Concespcion amesema kuwa upekuzi utakuwa mkubwa zaidi nje na ndani ya uwanja huo zikiwemo Cafeteria sambamba na bar ili kuepuka hatari yoyote.
Amebainisha kuwa kila sehemu itakaguliwa...
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu