Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNHRC:Idadi ya wahamiaji imeongezeka maradufu

Mashirika mawili yanayosimamia maswala ya wahamiaji yanasema kuwa idadi ya wahamiaji haramu wanaoingia Ulaya imepita laki moja mwaka huu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

UN:Idadi ya vifo Afghanistan imeongezeka

Ongezeko la idad ya vifo vya wanawake na watoto nchini Afghanistan inatisha kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mtaifa

 

11 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wahamiaji yaongezeka Libya

Mamlaka nchini Libya imesema kuwa imeshindwa kudhibiti idadi ya wahamiaji wanaotaka kuingia Ulaya kwa kutumia mlango wa nyuma.

 

5 years ago

BBCSwahili

Netflix yarekodi watumizi maradufu ya ilivyotarajia

Netflix imerekodi ongezeko la watumizi wa mtandao huo mara dufu kwa miezi mitatu iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bei ya gesi kupanda maradufu Ukraine

Serikali ya mpwito ya Ukraine inaazimia kupandisha bei ya gesi kwa 50 %

 

11 years ago

Mwananchi

Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu

>Serikali imepandisha maradufu ada kwa wanafunzi wanaosomea ualimu kwenye vyuo vya ualimu nchini kuanzia muhula ujao wa masomo.

 

9 years ago

StarTV

Ulinzi kuimarishwa maradufu Santiago Bernebeu Jumamosi  

 

Kufuatia tukio la kigaidi lililotokea  nchini Ufaransa Ijumaa iliyopita ulinzi mkali umeimarishwa mara dufu  kuelekea mechi ya kwanza ya El Clasico kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu.

             Duru za kiusalama zinasema kuwa  mkuu wa  Manispaa ya mji wa Madrid  Concespcion amesema kuwa  upekuzi utakuwa mkubwa zaidi nje na ndani ya uwanja  huo zikiwemo Cafeteria sambamba na bar ili kuepuka hatari yoyote.

Amebainisha kuwa kila sehemu itakaguliwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Vituo vya kupigia kura kuongezeka maradufu nchini

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 vitaongezeka mara mbili zaidi ya vile vilivyotumika katika uchaguzi uliopita.

 

9 years ago

Michuzi

Motisun yaongeza uimara maradufu mabati ya Kiboko Imara


Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Motisun Group Subhash Patel (wapili kushoto) akiwasha mshumaa pamoja na wawakilishi wa makampuni tanzu za Motisun Group kuashiria uzinduzi wa mabati ya Kiboko Imara. Hafla ya uzinduzi ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar-es-salaam. Balozi wa mabati ya Kiboko Jacob Steven ‘JB’ akicheza ngoma ya asili na kikundi cha KP traditional dance katika uzinduzi wa mabati ya Kiboko Imara yanayotengenezwa na kampuni ya MMI STEEL. Hafla ya uzinduzi ...

 

9 years ago

Bongo5

Tamthilia ya Empire yarejea kwa kishindo, yavunja rekodi ya Fox ya miaka sita, ushoga wawa maradufu!

Tamthilia ya Empire imerejea kwenye msimu wake wa pili kwa kishindo Jumatano hii. Show hiyo imetazamwa na watu milioni 16.18 na kuifanya kuwa season mpya iliyoangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox tangu tamthilia ya House mwaka 2009. Hiyo ni habari njema kwa Fox kwakuwa The Hollywood Reporter imeripoti kuwa tangazo la sekunde 30 […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani