Ulinzi kuimarishwa maradufu Santiago Bernebeu Jumamosi Â
Kufuatia tukio la kigaidi lililotokea nchini Ufaransa Ijumaa iliyopita ulinzi mkali umeimarishwa mara dufu kuelekea mechi ya kwanza ya El Clasico kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu.
Duru za kiusalama zinasema kuwa mkuu wa Manispaa ya mji wa Madrid Concespcion amesema kuwa upekuzi utakuwa mkubwa zaidi nje na ndani ya uwanja huo zikiwemo Cafeteria sambamba na bar ili kuepuka hatari yoyote.
Amebainisha kuwa kila sehemu itakaguliwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Apr
Ulinzi wa majini kuimarishwa -JK
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali kupitia majeshi yake, itazidi kuimarisha ulinzi wa majini , ikiwa ni pamoja na kununua meli vita zitakazosaidia kulinda mipaka ya bahari na rasilimali zilizopo.
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Ulinzi kuimarishwa Simba, Yanga
10 years ago
Mtanzania09 May
Ulinzi wazidi kuimarishwa kesi za ugaidi
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
JESHI la Magereza mkoani hapa limezidi kuimarisha ulinzi ndani na nje ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati wa kesi za watuhumiwa 60 wa matukio tofauti ya kigaidi.
Wakati ulinzi ukiimarishwa, mtuhumiwa mpya wa matukio ya kigaidi, Buchumi Hassan, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka yake na kuunganishwa na watuhumiwa wenzake 60 na kufanya idadi yao kufikia 61.
Kwa wiki kadhaa sasa kulikuwa na ulinzi mkali wa askari magereza eneo hilo wakati wa...
9 years ago
Michuzi14 Nov
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
UNHRC:Idadi ya wahamiaji imeongezeka maradufu
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Bei ya gesi kupanda maradufu Ukraine
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Netflix yarekodi watumizi maradufu ya ilivyotarajia
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu
9 years ago
MichuziMotisun yaongeza uimara maradufu mabati ya Kiboko Imara