Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulinzi wa majini kuimarishwa -JK

Rais Jakaya Kikwete akikagua meli vita mbili mara baada ya kutoa kamisheni katika sherehe zilizofanyika makao makuu ya Kamandi ya Navy, Kigamboni Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi huku Mbunge wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere akisalimiana na Balozi wa China nchini, Dk Lu Youqing na kulia ni Mkuu wa Kamandi hiyo, Meja Jenerali Rogasian Laswai. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali kupitia majeshi yake, itazidi kuimarisha ulinzi wa majini , ikiwa ni pamoja na kununua meli vita zitakazosaidia kulinda mipaka ya bahari na rasilimali zilizopo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ulinzi kuimarishwa Simba, Yanga

>Wakati homa ya mchezo wa kirafiki wa Nani Mtani Jembe utakao zikutanisha Simba na Yanga, Jumamosi hii ikizidi kupanda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa lipo katika maandalizi kabambe kwa ajili ya mechi hiyo  hata hivyo nguvu zaidi limezielekezwa  katika suala la usalama.

 

10 years ago

Mtanzania

Ulinzi wazidi kuimarishwa kesi za ugaidi

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
JESHI la Magereza mkoani hapa limezidi kuimarisha ulinzi ndani na nje ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati wa kesi za watuhumiwa 60 wa matukio tofauti ya kigaidi.

Wakati ulinzi ukiimarishwa, mtuhumiwa mpya wa matukio ya kigaidi, Buchumi Hassan, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka yake na kuunganishwa na watuhumiwa wenzake 60 na kufanya idadi yao kufikia 61.

Kwa wiki kadhaa sasa kulikuwa na ulinzi mkali wa askari magereza eneo hilo wakati wa...

 

9 years ago

StarTV

Ulinzi kuimarishwa maradufu Santiago Bernebeu Jumamosi  

 

Kufuatia tukio la kigaidi lililotokea  nchini Ufaransa Ijumaa iliyopita ulinzi mkali umeimarishwa mara dufu  kuelekea mechi ya kwanza ya El Clasico kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu.

             Duru za kiusalama zinasema kuwa  mkuu wa  Manispaa ya mji wa Madrid  Concespcion amesema kuwa  upekuzi utakuwa mkubwa zaidi nje na ndani ya uwanja  huo zikiwemo Cafeteria sambamba na bar ili kuepuka hatari yoyote.

Amebainisha kuwa kila sehemu itakaguliwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mchezo wa Raga majini

Je ushawahi kusikia kuhusu mchezo wa Rugby unaochezewa majini?

 

10 years ago

GPL

SANGOMA AZIMIA AKITOA MAJINI!

Stori: Denis Mtima
INASHANGAZA sana! Katika hali isiyokuwa ya kawaida mganga wa kienyeji ‘sangoma’ mmoja aliyefahamika kwa jina la Lambalamba amejikuta akiingia kwenye hatua ya nusu kifo kufuatia kupoteza fahamu baada ya kuelemewa na majini aliyokuwa akiyatoa shuleni. Sangoma mwenye usongo mwekundu akiingia kazini na timu yake kutuliza majini. Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni maeneo ya Kiluvya -...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahadharishwa kuwa majini

Msemaji wa Polisi, Advera Bulimba JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzee wa miaka 84 apotea majini Sydney

Maafisa nchini Australia wamesitisha zoezi la kumtafuta mzee mmoja aliyeanguka baharini mashariki mwa mji wa Sydney.

 

11 years ago

Mwananchi

Kenya yataka Stars icheze majini

Utata mkubwa ulitokea jana mchana mjini Machakos baada ya vigogo wa Shirikisho la Soka la Kenya (KFF) kutaka mechi dhidi ya Kilimanjaro Stars ichezwe kwenye uwanja huo uliojaa maji.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabasi ya majini kumaliza msongamano wa magari?

>Serikali, mashirika binafsi na wadau wa usafiri ndani na nje ya nchi wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani