Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto mkubwa wateketeza soko la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kama Mt.Meru Curios & Crafts Market

SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET limetea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza bidhaa zote za wafanyabiashara zililopo katika soko hilo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo ameagiza uchunguzi wa kina kufanyika kufuatia soko la wafanyabiashara wa Vinyago na bidhaa mbalimbali za kitalii la Maasai Market kuteketea kwa moto.

Mulongo ambaye alifuatana na kamati ya Ulinzi na Usalama alishangaa kuona maduka hayo ambayo yapo jirani na Kikosi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MOTO WATETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI LIJULIKANALO KAMA MT.MERU CURIOS & CRAFTS MARKET JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo ameagiza uchunguzi wa kina kufanyika kufuatia soko la wafanyabiashara wa Vinyago na bidhaa mbalimbali za kitalii la Maasai Market kuteketea kwa moto.


Mulongo ambaye alifatana na kamati ya Ulinzi na Usalama alishangaa kuona maduka hayo ambayo yapo jirani na Kikosi cha Zima Moto kushindwa kuzima moto na kusababisha hasara kwa wananchi.


"Sitakubali kuona uzembe unaendelea katika mkoa wetu,lazima watu wawajibishwe kwa uzembe hasa Kikosi cha kuzima moto...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya Mabaki ya bidhaa zilizoteketea kwa moto katika SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET usiku wa kuamkia leo. Bango la Soko hilo.kwa picha zaidi bofya soma zaidiSehemu ya Wafanyabiashara wa SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS & CRAFTS MARKET wakiwa wameduwaa bila kujua la kufanya mara baada ya Soko hilo kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza bidhaa zote za wafanya biashara zililopo katika soko...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Moto wateketeza soko Mchikichini


NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...

 

9 years ago

Michuzi

Moto mkubwa wazuka mlima meru mkoani arusha

Moshi mkubwa umetanda katika anga ambapo Kuna taarifa kuwa Eneo la hifadhi ya Mlima Meru Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha linawaka moto. Chanzo cha moto huo, ambao unasemekana ulianza jana, bado hakijafahamika. Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza zaidi mara tupatapo habari za uhakika kutoka eneo la tukio.

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Newssss: moto wateketeza soko la mitumba la karume jijini Dar usiku huu

Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam  ambalo linateketea na moto usiku huu.  Taarifa zilizotufikia katika meza ya usiku zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika  kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo  hilo. Tunafuatilia kujua kama kuna watu walioathirika na moto huo pamoja...

 

9 years ago

Habarileo

TFDA Dodoma wateketeza bidhaa za mil 38/-

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imeteketeza bidhaa mbalimbali zikiwemo dawa za binadamu na za mifugo, vipodozi vyenye viambata vya sumu na vyakula, vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 38.8.

 

11 years ago

Michuzi

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich)  Mmoja wa washiriki waliofika kwaajili ya kuonyesha vipaji akiwa mbele ya...

 

5 years ago

Bandera County Courier

Eye Health Ingredients Market Industry Size, Demand & Top Market Players 2027

Eye Health Ingredients Market Industry Size, Demand & Top Market Players 2027  Bandera County Courier

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani