Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA Dodoma wateketeza bidhaa za mil 38/-

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imeteketeza bidhaa mbalimbali zikiwemo dawa za binadamu na za mifugo, vipodozi vyenye viambata vya sumu na vyakula, vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 38.8.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA

Baadhi ya bidhaa zilizoteketezwa na Maofisa wakaguzi wa TFDA wilayani Sikonge.Maofisa wakaguzi wa TFDA kanda ya kati wakijiandaa kuteketeza bidhaa zilizoisha mda wake ikiwemo vinywaji wilayani Sikonge (picha na Allan Ntana).
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yateketeza bidhaa tani 3

MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imeteketeza bidhaa mbalimbali zisizo na ubora za vipodozi, chakula na vifaatiba vipatavyo tani 3 vyenye thamani ya sh milioni 9. Akizungumza na waandishi...

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA yateketeza bidhaa za mamilioni ya shilingi

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), imeteketeza bidhaa zisizofaa kwa matumizi ya binadmu zenye thamani ya zaidi Sh10 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeongeza vituo vya ukaguzi katika kanda sita ili kudhibiti uingizaji bidhaa feki nchi na kulinda afya za watumiaji.

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya Mabaki ya bidhaa zilizoteketea kwa moto katika SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET usiku wa kuamkia leo. Bango la Soko hilo.kwa picha zaidi bofya soma zaidiSehemu ya Wafanyabiashara wa SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS & CRAFTS MARKET wakiwa wameduwaa bila kujua la kufanya mara baada ya Soko hilo kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza bidhaa zote za wafanya biashara zililopo katika soko...

 

9 years ago

Mwananchi

TFDA washirikiana na Interpol kusaka bidhaa feki

Mamlaka ya Chakula na Dawa( TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na Interpol tawi la Tanzania, imefanikiwa kukamata jumla la dawa na vipodozi  haramu vyenye thamani ya Sh135milioni katika Operesheni Giboia (II) iliyofanyika katika mikoa nane.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TFDA sasa shughulikieni wanaoingiza bidhaa feki

WATANZANIA kwa ujumla wamechoka kusikia kuteketezwa kwa chakula, vipodozi na dawa feki badala ya kukomesha na kuzuia njia za panya zinazotumika kuingiza bidhaa hizo, kwa kutoa adhabu kali kwa wahusika...

 

10 years ago

Habarileo

TFDA yakamata tani 313.4 za bidhaa zisizofaa

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema kwa mwaka 2013/14 ilipokea jumla ya bidhaa zenye uzito wa tani 313.4 zenye thamani ya Sh milioni 962 ambazo zimethibitishwa kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani