Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mourinho asema Chelsea itashinda ligi

Kilabu ya Chelsea itashinda ligi ya Uingereza,kocha wa kilabu hiyo Jose Mourinho amebashiri.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Matic asema Chelsea itashinda mataji 4

Matic ambaye alijiunga tena na Chelsea kutoka Benfica kwa kitita cha pauni 21 mwezi Janauari amesema kuwa anaamini inawezekana.

 

11 years ago

Michuzi

Nape asema CCM itashinda kwa kishindo jimbo la Chalinze

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Bonnele,Chalinze mkoani Pwani,juu ya mwenendo wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.Nape amesema kuwa mpaka sasa Kampeni za CCM zinakwenda vizuri na wanaimani watashinda kwa kishindo kwenye Uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Jumapili hii ya April 6,2014. Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye mapema leo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mourinho atimuliwa Chelsea

Kocha Jose Mourinho ametimuliwa na klabu ya Chelsea baada ya kupata kipigo cha mabao 2-1 mbele ya Leicester City na kuendeleza jinamizi la kupoteza michezo lililoikumba klabu hiyo msimu huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Mashabiki Chelsea wamlilia Mourinho

MashabikiLONDON, ENGLAND

MASHABIKI wa Chelsea wameshindwa kuzuia hisia zao juzi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Sunderland ambapo klabu yao ilishinda mabao 3-1, lakini walionekana wakiwa na mabango ambayo yanaonesha bado wanamuhitaji.

Kocha huyo amefukuzwa na klabu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini katika mchezo wa juzi mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, walionekana wakiimba nyimbo za kumsapoti Mourinho.

Kuna baadhi ya mashabiki ambao walionekana wakiwa na mabango...

 

9 years ago

Mtanzania

Mourinho atupiwa virago Chelsea

mourinho-jose-424737LONDON England

CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.

Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.

Kufungwa na vinara wa ligi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekutana na bodi ya klabu hiyo kujadili hatima ya meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mourinho : Drogba ni Chelsea damu.

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa Drogba ni Chelsea damu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea wampunguzia presha Mourinho

Chelsea walimpunguzia presha meneja wao Jose Mourinho kwa kupata ushindi muhimu Uefa dhidi ya Dynamo Kiev uwanjani Stamford Bridge.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema Roman Abramovich yuko pamoja nae licha ya Msimu mbovu wa Mabingwa hao wa England.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani