Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mourinho:Chelsea mambo shwari sasa

Golkipa, Petr Cech, aliokoa mabao kadhaa katika kipindi cha pili cha mechi kati ya Chelsea Crystal Palace ambapo Chelsea ilishinda kwa mabao 2-1

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

TANESCO sasa mambo shwari Luku




NA EMMANUEL MOHAMEDSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema tatizo la mfumo wa kununua umeme kwa njia ya mtandao limeshatafutiwa ufumbuzi na kwamba wateja wataendelea kupata huduma hiyo. Imeelezwa kuwa  licha ya kupatikana kwa ufumbuzi huo, bado mfumo huo utakuwa na kasi ndogo ya kuwahudumia wateja, ukilinganisha  na awali. Ofisa Uhusiano wa TANESCO, Adrian Mvungi, alisema tatizo hilo linatokana na kutokea kwa hitilafu ya mfumo huo na kusababisha  usumbufu mkubwa kwa wateja o...

 

10 years ago

Vijimambo

HALI YA UCHUMI TANZANIA SASA NI SHWARI

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akimsikiliza kwa makini Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier walipokutana katika mikutano hii ya kipupwe inayoendelea hapa Mjini Washington DC.Wengine ni ujumbe kutoka Tanzania pamoja na timu ya wataalam kutoka Benki ya Dunia.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akifuatilia kwa makini maswalialiyokuwa akiulizwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe...

 

9 years ago

Mwananchi

Mourinho atimuliwa Chelsea

Kocha Jose Mourinho ametimuliwa na klabu ya Chelsea baada ya kupata kipigo cha mabao 2-1 mbele ya Leicester City na kuendeleza jinamizi la kupoteza michezo lililoikumba klabu hiyo msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Diego sasa shwari, ang’ara dhidi ya El Salvador

Costa, ambaye anajiandaa kujiunga na Chelsea akitokea Atletico Madrid, hakucheza tangu alipotonesha misuli ya paja katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea wampunguzia presha Mourinho

Chelsea walimpunguzia presha meneja wao Jose Mourinho kwa kupata ushindi muhimu Uefa dhidi ya Dynamo Kiev uwanjani Stamford Bridge.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mourinho : Drogba ni Chelsea damu.

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa Drogba ni Chelsea damu.

 

9 years ago

Mtanzania

Mourinho atupiwa virago Chelsea

mourinho-jose-424737LONDON England

CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.

Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.

Kufungwa na vinara wa ligi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekutana na bodi ya klabu hiyo kujadili hatima ya meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema Roman Abramovich yuko pamoja nae licha ya Msimu mbovu wa Mabingwa hao wa England.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani