Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moussa Dadis Kamara kuwania urais Guinea

Aliyekuwa kiongozi wa kijeshi nchini Guinea ,Moussa Dadis Camara ametangaza kwamba atawania urais wa taifa hilo baadaye mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wafuasi wa Dadis Kamara wakabiliwa Guinea

Polisi nchini Guinea wamepambana na wafuasi wa aliyekuwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo Moussa Dadis Camara.

 

9 years ago

BBCSwahili

Obiang kuwania tena urais Equatorial Guinea

Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema, ambaye ameongoza taifa hilo kwa miaka 36, amesema atawania tena urais.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Al-Sisi kuwania Urais Misri

Viongozi wa kijeshi nchini Misri wamekubaliana Mkuu wa jeshi ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Abdel Fattah Al Sisi kuwania Urais katika Uchaguzi ujao

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nimeshawishika kuwania urais

Hatimaye mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema “ameshawishika” na kuweka bayana kuwa atachukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

BBCSwahili

Korti yamruhusu Nkurunziza kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa achukua fomu za kuwania urais

Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA, akifika ofisi ya Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya ur

 

10 years ago

Mwananchi

Makaidi kuwania urais kupitia Ukawa

Wakati vyama vingine vinavyounda Ukawa, vikiendelea na mchakato wa kutafuta jina litakalopendekezwa kuchukua kiti cha urais, Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amesema, tayari chama chake kimeshapendekeza jina lake kuwa miongoni mwa vigogo watakaoshindanishwa kwenye kinyang’anyiro hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani