MPANDA, KATAVI KWAZIDI KUNOGA
![](https://img.youtube.com/vi/iaOzRqyQoMs/default.jpg)
Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jafo anaendelea na ziara yake Mkoani Katavi, ambapo leo baada ya kuongea na watumishi wa Manispaa ya Mpanda ameweza kuzindua Barabara za Mpanda mjini ambazo zinajengwa kupitia Mradi wa ULGSP, Mkoani hapo.‘‘Hakika Mpanda mmepata Barabara nzuri hizi ni zakiwango cha Juu na haya ndio mapenzi wa Rais Magufuli kwa wananchi wake wa Mpanda hongereni sana” Waziri Jafo
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HqYzTbvR55I/Uv_D2pwVMhI/AAAAAAAFNY0/SOUXCOAgjmE/s72-c/unnamed+(22).jpg)
habari toka wilayani mpanda mkoa wa katavi
![](http://2.bp.blogspot.com/-HqYzTbvR55I/Uv_D2pwVMhI/AAAAAAAFNY0/SOUXCOAgjmE/s1600/unnamed+(22).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6j8ZqIprv5E/Uv_D2VNjMTI/AAAAAAAFNYw/2sowxvZB8I0/s1600/unnamed+(23).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Simba kwazidi kufukuta
HALI ndani ya klabu ya Simba inaweza kuzidi kuwa tata, baada ya baadhi ya wanachama wa Simba, leo wanatarajia kwenda Mahakama Kuu ya Tanzania kulishitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lw07RrWuFDM/UviOUAeeKMI/AAAAAAAFMCU/VNNjrgPwSWc/s72-c/KITABU+MKOA+KATAVI+FINAL28.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Mambo yazidi kunoga
9 years ago
Habarileo16 Aug
Simba yaanza kunoga
SIMBA jana iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya URA ya Uganda katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Mechi hiyo ni ya maandalizi ya kujiandaa na Ligi Kuu inayotarajiwa kuanza Septemba 22, mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2da5qG_3x7c/VS7BU1Pe0-I/AAAAAAAHRYY/i73keuSStQE/s72-c/unnamedw.jpg)
BIASHARA YA CHENJI YAZIDI KUNOGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-2da5qG_3x7c/VS7BU1Pe0-I/AAAAAAAHRYY/i73keuSStQE/s1600/unnamedw.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-z1YRqLil4I4/VS7BU5VEVNI/AAAAAAAHRYc/W5Mr1caGt8A/s1600/unnamedww.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4UUnqAej8P0UkqJjJxmMXCNS2t3irOmcX9RUHUtmXFtuQlCxTYdzT3GfW28vWTNmIGkYDClsx5x2bfNnpr*y9rx/1.MajajiwaTMTniRichRichMonalisanaRoySarungi.jpg?width=650)
TMT 2015 YAZIDI KUNOGA
11 years ago
GPLMAMBO YAZIDI KUNOGA JANGWANI
9 years ago
Habarileo02 Jan
Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga
LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.