Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulik
![](http://lh3.ggpht.com/-OSl-yolkoOA/VPrRKtTesjI/AAAAAAAAplc/FAiM52hTzTc/s72-c/Zitto%252520K%25252828%252529.jpg)
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa kuna wabunge watatu wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wanatarajiwa kujitoa ndani ya chama hicho mwishoni mwa mwezi huu na kujiunga na chama cha ACT.Taarifa hizo zinasema pia hii ni baada ya majadiliano ya muda mrefu na kufikia muafaka na mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe anayetarajiwa kuongoza wabunge hao watatu kujiunga na chama hicho katika mkutano mkuu wa ACT tarehe 28/3
Taarifa zaidi zinasema pia kuna wabunge wachache wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4rGWT-DUrmU/VS0rmkYtGWI/AAAAAAAHRIE/dBJbGR20FTM/s72-c/unnamed.jpg)
KATIBU WA CHADEMA KANDA YA KASKANI AKIZINDUA MPANGO WA KUICHANGIA CHADEMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-4rGWT-DUrmU/VS0rmkYtGWI/AAAAAAAHRIE/dBJbGR20FTM/s1600/unnamed.jpg)
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Uzinduzi wa mpango wa
kuchangia Chadema kwa kutumia simu za mikononi kukiwezesha chama hicho kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Picha na mahmoud ahmad
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Slaa: Kiongozi anayetaka kuondoka CHADEMA ruksa
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuwa mbunge au diwani anayetaka kuondoka CHADEMA milango iko wazi, kwa sababu hawawezi kumvumilia kiongozi msaliti wa...
11 years ago
Habarileo21 Jul
Mbowe: Wanachama ‘mizigo’ Chadema ruksa kuondoka
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema uongozi wake, utakilinda chama kwa gharama yoyote na kuwa milango iko wazi kwa watu wasio na nia ya dhati kuondoka.
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mpango wa maendeleo waanikwa kwa wabunge
MPANGO wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/16 umewasilishwa katika kamati ya mpango wa Bunge zima, huku shabaha ikilengwa katika kuimarisha utengamavu wa viashiria vya uchumi kwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani na kupunguza utegemezi.
10 years ago
Habarileo23 Mar
Zitto atua ACT na wabunge 10
ALIYEKUWA Mbunge wa Kaskazini, Zitto Kabwe amejiunga rasmi na chama cha siasa cha ACT, huku akisema ana kundi kubwa la watu watakaomfuata, wakiwemo wabunge 10 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/826oIv68XgjDaKrcJ-nBS1KfU4t9gO9ChEH*SkhzzpkqYxXlhEodq1qVlm0BkJxHHi9SJWAkIJR1JdAJDCgpWJQfOKbqG8*n/Chadema_logo.jpg)
CHADEMA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI: TAMKO KUHUSU KUONDOKA KWA WALIOKUWA VIONGOZI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mnXnX1PWRvM/XqRKFqWmeXI/AAAAAAALoME/4RN90XeGaqM8mJIceZejbOj7I91C5AjOQCLcBGAsYHQ/s72-c/9fe06ec3-e552-4803-903a-af16e0cec0fa.jpg)
WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO ENDELEVU (SDG 1&20).
![](https://1.bp.blogspot.com/-mnXnX1PWRvM/XqRKFqWmeXI/AAAAAAALoME/4RN90XeGaqM8mJIceZejbOj7I91C5AjOQCLcBGAsYHQ/s640/9fe06ec3-e552-4803-903a-af16e0cec0fa.jpg)
Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) yaliyotolewa na Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Ndg. Josiah Mwabeza katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/3bed3a0b-f135-4f5b-961e-1731a5428536.jpg)
10 years ago
Vijimambo20 Mar
HII NDIO HOTUBA YA ZITTO ALIYOTAKA KUITOA BUNGENI YA KUWAAGA WABUNGE WENZAKE
![](http://api.ning.com/files/DmFIhqID0FpBclB7TfcFiRZ2-SgCvrpy-YGRxyfai9FDRTsXlW9F0Hk79q1j2Co33QKi*PPkmLAEKlDl2gz5S1OlpjCGMqKv/zitto.jpg?width=650)
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma.
Katika kudumu kwangu kama mbunge nililelewa na kukuzwa na chama cha siasa cha CHADEMA ambacho kupitia chama hiki niliingia Bungeni. Chama hiki kilinilea na kunikuza tangu nikiwa na umri wa miaka 16 na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--DSnfuTV6yb0QoLFEshf4CbQ6kxkLxnMcImTXT6RBExz-RbukYHGTCgHcQJt8eqPeiEinyQ2y*3gjgeAHWiD0K/06ZITTO5.jpg?width=650)
ZITTO AICHAKAZA CHADEMA