MPASUKO FAMILIA YA DIAMOND!
![](http://api.ning.com:80/files/-M5JLAFxn1GfD9me-TjHCO601ff6pW-mv1A6VDooLJKbDSKjxUza8YAo6nkIX*hRB6mhUHDCH-O5zNyCNa*sKZQIefY5lGw3/zari.jpg?width=650)
Mwandishi wetu Breaking news! Saa chache kabla ya ile sherehe ya kukata na shoka ya 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ inayotarajiwa kufanyika mapema kesho, ndani ya familia hiyo kunadaiwa kuibuka bonge la mpasuko. Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na mtoto wake. Habari kutoka kwa chanzo makini ndani ya familia hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcpz-laNiDT8l5s60xpY2CI8eJ9wHi4PSiS*wtytk9V3yXywkrSIG1cXAaigtvSNj6DGkzD9LnyjYCwAuBztFDh-/MPASUKO.jpg?width=650)
MPASUKO FAMILIA YA MANDELA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2P5YMZ14eu4bcDXUJTfRrnXfEHemNoRbTDhJlqrOZtl1SJwTp3hDa6i9gv2VrKCtMJqau5f5lyzb3Sg4f*siY-N/diamond.jpg?width=650)
WEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/poNlDA9JoO0WDIqeSNaKlDhEWKoQlpAnYY2pL8ZnSlAYJo7n96gJBuxwumtOhyJKTNRgkywPekPnaQUeOdDWwgpVS*JWFTuD/jux650x650.jpg?width=650)
FAMILIA YA DIAMOND YAMMWAGA RASMI ZARI!
9 years ago
Bongo526 Nov
Picha: Diamond alivyoungana tena na familia yake South
![11939678_1015510408471958_1941126011_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11939678_1015510408471958_1941126011_n-300x194.jpg)
Diamond Platnumz ameungana tena na familia yake nchini Afrika Kusini.
Muimbaji huyo wa Nana aliyeenda nchini humo kwaajili ya maandalizi ya show ya BET Experience Africa, ametumia fursa hiyo kuonana tena na mchumba wake Zari The Bosslady na mwanae, Tiffah.
Kupitia Instagram, Diamond ameonesha picha akiwa na familia hiyo wakizunguka kwenye mitaa ya mji (ambao hakutaja ni upi).
“I always wanted to be a Good Daddy & Hubby!!!… #FamilyTime katoto kanapenda picha haka eti kanachungulia,”...
9 years ago
Bongo528 Dec
Picha: Zari, Diamond washerehekea msimu wa Christmas kwenye yacht na familia
![1739465_457224814468540_1238534898_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1739465_457224814468540_1238534898_n-300x194.jpg)
Ulisherehekea vipi sikukuu ya Christmas na boxing day?
Kwa Diamond na first lady wake, Zari the Bosslady ilikuwa ni mwendo wa kuyakata maji kwenye yacht tu.
Mastaa hao walikodi yacht na kuelekea kwenye kisiwa cha maraha cha Mbudya wakiwa na ndugu zao. Waliojumuika ni pamoja na dada zake Diamond, Esma na Queen Darleen, AY, meneja Sallam na wengine.
Tazama picha zao:
Katika hatua nyingine, Diamond alipata muda wa kuspend na mwanae Tiffah kabla ya kwenda Nigeria Jumatatu hii kwaajili...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2xjDsWd1Ulk/Uw3nACVvonI/AAAAAAAAGxE/JrWbDTdRPnM/s72-c/written-budget.jpg)
Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2xjDsWd1Ulk/Uw3nACVvonI/AAAAAAAAGxE/JrWbDTdRPnM/s1600/written-budget.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oXuSRhFkZKg/VgYmTxTna4I/AAAAAAAAU_8/bg4zJrFA94w/s72-c/1.jpg)
WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...
11 years ago
Habarileo07 Aug
Mpasuko Ukawa
KUMEKUCHA katika Bunge Maalumu la Katiba, ambapo sasa baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamekiuka viapo na vitisho vya viongozi wao, kwa kuamua kutinga bungeni.