MPENZI WA KUPITIWA NA SHETANI KILA SIKU WA KAZI GANI?
![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j0m-sXfT7jMyR2I0HIXkk8ZDRq3zwe2NcB9RTy9ApKFs2bveyAl-ZNTfxSQjfufD-d7WxwMzys2NAx5yOVKzuG*/condearchivecoupleinbedmain.jpg?width=650)
Kila mmoja anafahamu umuhimu wa mapenzi katika maisha ya binadamu. Ndiyo maana kila siku watu wamekuwa wakihakikisha wanawapata wapenzi ambao watawaongezea furaha katika maisha yao. Ambao wameyakosa mapenzi ya dhati wameathirika sana kisaikolojia na kushindwa kutimiza majukumu yao ya kila siku ipasavyo huku wengine wakifikia hatua ya kukatisha maisha yao kwa kujiua. Hiyo yote inaonesha ni jinsi gani mapenzi yana nafasi katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Whh6EVMQl5zaBNZs70YmOazU-fga2oBCUFZy3AxsNd04lAwhBmHmtw9hyAArfDYLLdIlAhrX7LZk2ancOM1J9l/couple_phone.png?width=650)
SIKU MOJA KILA MPENZI ASHINDE NA SIMU YA MWENZAKE TUONE!
10 years ago
GPL08 Sep
9 years ago
Bongo518 Nov
Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?
![Black-woman-white-man](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Black-woman-white-man-300x194.jpg)
Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?
Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcX5i912h9C2km8F78AsqrO4zI*q2BlQ7z1ZrsGDqrXpM6-7RbPaVI-Bc2Y7Y*oXF95TyFi29aaINMUljUmZH6w4/love.jpg?width=650)
KUNA UBAYA GANI KUFUATILIA NYENDO ZA MPENZI WAKO?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HhpbPnjRrNi2ozD*EnnUV7wbiUnkjLVwImkztBhSRZF6LX5MENX2Ueu1LriPK4dbgspsC8PeG2OBHDRiApOmQ5B/mahaba.jpg?width=650)
ASICHOKIPENDA MPENZI WAKO, KUNA HAJA GANI KUKILAZIMISHA?
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
10 years ago
Vijimambo19 Feb
KUNA UBAYA GANI VALENTINE’S DAY KUWA KILA WIKI?
![](http://sandiegobargainmama.com/wp-content/uploads/2011/01/aa-couple-valentines-day.jpg)
Naomba tu niseme kwamba, kupitia safu hii unaweza kupata ushauri wa mambo mbalimbali ya kimapenzi hivyo kama una lolote ambalo linakukosesha amani, usikae nao! Wasiliana nami kwa namba za simu hapo juu naamini suluhisho litapatikana.
Mpenzi msomaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-2Df4rMNT7fa5oFwQ5pwLoXFZK703aUYIwYCmJd-R93bRhC*p8irWzGyLtHS7lX*4PgdsweC30NkHG-U13XUg1H/Love.jpg)
KUNA UBAYA GANI VALENTINE’S DAY KUWA KILA WIKI?
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi