SIKU MOJA KILA MPENZI ASHINDE NA SIMU YA MWENZAKE TUONE!
![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Whh6EVMQl5zaBNZs70YmOazU-fga2oBCUFZy3AxsNd04lAwhBmHmtw9hyAArfDYLLdIlAhrX7LZk2ancOM1J9l/couple_phone.png?width=650)
MPENZI msomaji wa Love & Life napenda kukukaribisha katika mada nzuri ya wiki hii inayosema siku moja, kila mpenzi ashinde na simu ya mwenzake…tuone! Nianze kwa kusema tu, naamini mada hii itakuwa ni ngumu sana kwa wapenzi wa zama hizi za kizazi kipya, bila kujali wahusika kama ni wapenzi, wachumba au wanandoa, bado ugumu nauona akilini mwao. Kwa nini? Kama kweli mnapendana hakuna ugumu wowote, ila ugumu unakujaje?...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M5eIeogaRC4/UwUAtE-2exI/AAAAAAAFOGw/QloBugfai44/s72-c/IMG_1366.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j0m-sXfT7jMyR2I0HIXkk8ZDRq3zwe2NcB9RTy9ApKFs2bveyAl-ZNTfxSQjfufD-d7WxwMzys2NAx5yOVKzuG*/condearchivecoupleinbedmain.jpg?width=650)
MPENZI WA KUPITIWA NA SHETANI KILA SIKU WA KAZI GANI?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFxq7-kGyycq8spCYnNxpeyXSA73bfaGYt4fVb3h0lGTJcEM0V9o8QrJLHpTuEZ7Ikyoo7aJoMRHMs4p-nFzOcou/01.jpg?width=750)
WATEJA WA AIRTEL KUSHINDA GARI MOJA KILA SIKU
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/woFSov9RqEw/default.jpg)
Amby Lusekelo anakuletea tamthilia ya #Kitendawili kila siku kupitia simu TV
9 years ago
Bongo509 Nov
Kanye West hutumia zaidi ya shilingi milioni moja kila siku kunyoa nywele
![screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am1-300x194.png)
Kanye West anadai kutumia $500 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni moja kunyoa nywele.
Kwa mwaka hiyo inaaminisha kuwa hutumia zaidi ya $180,000.
Taarifa hizo zilisemwa na baba yake Rihanna kwenye mahojiano na jarida la Heat, Ronald Fenty, aliyesafiri na Kanye na mwanae kwenye ziara yao mwaka 2010.
“It’s crazy – he pays his barber $500 a time,” alisema. “I don’t understand how that much hair gets taken off. Kanye just loves the fresh look.”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
11 years ago
Michuzi23 Jul
NHC yakanusha tuhuma zilizoandikwa na moja ya Gazeti la kila siku juu ya Mkurugenzi Mkuu wake
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/138.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/224.jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
Binyavanga:Mimi ni mpenzi wa jinsia moja
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10