Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amby Lusekelo anakuletea tamthilia ya #Kitendawili kila siku kupitia simu TV

Amby Lusekelo anakuletea tamthilia ya #Kitendawili. Tamthilia hii inaendelea kwa hiyo usikose wiki nzima ya mikasa kupitia simu TV

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIKU MOJA KILA MPENZI ASHINDE NA SIMU YA MWENZAKE TUONE!

MPENZI msomaji wa Love & Life napenda kukukaribisha katika mada nzuri ya wiki hii inayosema siku moja, kila mpenzi ashinde na simu ya mwenzake…tuone! Nianze kwa kusema tu, naamini mada hii itakuwa ni ngumu sana kwa wapenzi wa zama hizi za kizazi kipya, bila kujali wahusika kama ni wapenzi, wachumba au wanandoa, bado ugumu nauona akilini mwao. Kwa nini?
Kama kweli mnapendana hakuna ugumu wowote, ila ugumu unakujaje?...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!

Bila kumwogopa Mungu, hatuwezi kupiga hatua kama taifa. Tunaambiwa kwamba kumwogopa Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa na mafanikio. Ingawa Taifa letu halina dini, lakini watu wake wote wanamwamini Mwenyezi Mungu

 

10 years ago

Michuzi

Filamu: Pata Filamu ya KITENDAWILI kupitia Mtandao

MBAZI ni kijana aliyezaliwa kwenye familia ya kimasikini mkoani kilimanjaro, anakwenda mkoani kigoma huko anapendana na NYAMIZI binti mkimbizi wa kinyarwanda. Anaamua Kumtorosha na kurudi nae kijijini kwao, lakini Mambo yanapozidi kuwa magumu anaamua kwenda Dar Es Salaam Kutafuta maisha akiamuacha Nyamizi akiwa na mtoto mdogo. Akiwa Dar es Salaam anajikuta akiishia jela na kupoteza mawasiliano na familia yake kwa miaka mitatu anamaliza kifungo na kurudi kijijini na KITENDAWILI, mama yake na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi

Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi

 

11 years ago

BBCSwahili

Piga simu kupitia Whatsapp?

Baada ya Facebook kununua Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma ya kupiga simu

 

10 years ago

Michuzi

BUNGENI LEO KUPITIA SIMU TV

SIMUtv: Naibu waziri wa mambo ya ndani Mh.Silima akijibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden    https://youtu.be/9bir_jqGd8YSIMUtv: Tamko la serikali juu ya wakulima waliotumia sera za kilimo nchini Mkatika kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao ya kilimo.   http://youtu.be/CVv08Qx_0cQSIMUtv: Serikali imeombwa kuwashirikisha wadau mbalimbali toka sekta binafsi kuwekeza katika usafiri visiwani ili kurahisisha huduma za...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaopotosha, kukashifu kupitia simu wasakwa

POLISI imeanza operesheni ya kuchunguza watu wanaojihusisha na udanganyifu au upotoshaji wa aina yoyote kupitia simu za mikononi au mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuchukua hatua za kisheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani