Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


tamthilia ya #Kitendawili sehemu ya tatu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Amby Lusekelo anakuletea tamthilia ya #Kitendawili kila siku kupitia simu TV

Amby Lusekelo anakuletea tamthilia ya #Kitendawili. Tamthilia hii inaendelea kwa hiyo usikose wiki nzima ya mikasa kupitia simu TV

 

10 years ago

Michuzi

sehemu ya tatu ya kipindi cha ‘UBISHI’ na Costantine Magavilla

Wiki hii bwana Costantine Magavilla anaongelea maana nyingine ya shule. Je unajua maana nyingine ya shule zaidi ya kusoma. Bofya hapo kati tuendelee...

 

11 years ago

Mwananchi

Celyne; maisha yake ni tamthilia

Kwa wafuatiliaji wa Tamthilia ya Her Mothers Daughter inayoendelea kurushwa kupitia Kituo cha Star Tv, jina la Celyne siyo geni masikioni mwao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamthilia ya ‘Fadhila ya Moyo’ yapikwa

TAMTHILIA mpya ya Kiswahili inayokwenda kwa jina la ‘Fadhila ya Moyo’, ambayo pia itakusanya baadhi ya waigizaji nyota hapa nchini, iko mbioni kutoka. Mwandaaji wa Tamthilia hiyo ambayo ni Kiongozi...

 

11 years ago

Habarileo

Tigo yazindua tamthilia ya bima

KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imezindua tamthilia mpya ya ‘Kinga ya moyo wangu’, kwa lengo la kuielimisha jamii juu ya masuala ya bima.

 

10 years ago

Bongo Movies

Chegge Kutesa Katika Tamthilia

Staa wa muziki Chegge Chigunda ameweka wazi kuwa baada ya kuona ukubwa na mafanikio ya projekti ya filamu aliyofanya huko Nairobi, katika siku zijazo ataanza kuonekana katika Tamthilia ya Muendelezo ama Series ya kazi hiyo ambayo ilifanyika miaka kadhaa iliyopita.

Chegge ambaye hivi sasa anatamba katika chati mbali mbali kupitia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Mwananyamala', ambaye ameeleza kuwa atatanguliza projekti ya awali ya kazi hiyo ambayo imekwishakamilika, anatarajiwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani