Usikose sehemu ya tatu ya kipindi cha ‘UBISHI’

Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
sehemu ya tatu ya kipindi cha ‘UBISHI’ na Costantine Magavilla
Wiki hii bwana Costantine Magavilla anaongelea maana nyingine ya shule. Je unajua maana nyingine ya shule zaidi ya kusoma. Bofya hapo kati tuendelee...
10 years ago
Vijimambo
Tazama sehemu ya pili ya kipindi cha ‘UBISHI’
Katika mwendelezo wa kipindi cha ‘Ubishi - Komaa Upate Pesa’, wiki hii Bwana Costantine Magavilla anakuletea sehemu ya pili iitwayo ‘Kazi ni Tabia’. Kazi ni gumzo kwa vijana wengi wa mjini ila ni kitu gani kinacho wachochea vijana kufanya kazi haswa na je madhara yake ni nini kwao. Pata majibu kwa kutembelea www.magavilla.com
Usikose kufuatilia vipindi hivi vinavyolenga kuelimisha, kukuhamasisha utazame upya maisha yako upateujasiri wa kubadili fikra na kufanya yako kila wiki siku ya...
10 years ago
Michuzi
kipindi cha Ubishi - Komaa Upate Pesa sehemu ya pili na Costantine Magavilla
Katika mwendelezo wa kipindi cha ‘Ubishi - Komaa Upate Pesa’, wiki hii Bwana Costantine Magavilla anakuletea sehemu ya pili iitwayo ‘Kazi ni Tabia’. Kazi ni gumzo kwa vijana wengi wa mjini ila ni kitu gani kinacho wachochea vijana kufanya kazi haswa na je madhara yake ni nini kwako kama kijana. Pata majibu kwa kutembelea www.magavilla.com
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI wiki hii

Katika NJE-NDANI wiki hii kati ya utakayosikia mahojiano na Fabian Lwamba Mmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana.

11 years ago
Michuzi
Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii


Photo...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Katika kipindi cha "HUYU NA YULE" kesho (Jumatatu), usikose kujua UNDANI wa maisha ya Linda
NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUA
Kesho Jumatatu katika kipindi cha huyu na yule cha mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya maisha yake yenye huzuni na furaha wakati mwingine Linda akitokwa na machozi kwa kukumbuka maisha aliyopitia. Je Mume wake Mali walijuana nae wapi? na mengine mengi kuhusu maisha yake ikiwemo kampuni yake ya LB na malengo yake ya kupeperusha bendera ya Tanzania...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania