Mpishi mbishi na kususa asusa
Kuna siku niliendMpishi mbishi na kususa asusaa kwenye mkahawa wa bei mbaya nikiwa na hamu sana ya kula chakula ninachokitaka mimi, chakula kitamu potelea mbali kikiwa cha bei mbaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1GsvTSj9lCwiIJE0pj7vYeo4IPPPbHerQYdh4Jpi8iezL65eMzuYSC6f1ijcmXS*o23oqB1KlOR36Wstjpf15EdPq/HansPope.jpg?width=650)
Hans Poppe asusa keki, maji
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Nicodemus Jonas na Saphyna Mlawa SIMBA imeandika barua kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutaka mwongozo wa Ramadhani Singano ‘Messi’ kutangazwa mchezaji huru, lakini Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema hatotumia keki wala maji ya Azam. Hans Poppe ametoa kauli hiyo kupinga kitendo cha Azam FC kumsajili Messi siku...
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mpishi amchinja na 'kumpika' mpenziwe
Mwanamume mpishi nchini Australia, anadaiwa kumuua mpenzi wake na kumkatakata vipande na kupika baadhi ya sehemu zake za mwili.
10 years ago
Habarileo03 Sep
CCM yasikitishwa wapinzani kususa Bunge
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesikitishwa na tabia ya wapinzani kususa mchakato wa Katiba, unaoendelea kupitia Bunge Maalumu linaloendelea mjini Dodoma, wakati ndio wanaolalamika kwamba kero za Muungano hazijapatiwa ufumbuzi.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Tanzania kwanza walaani Ukawa kususa
Kundi la Tanzania Kwanza linaloundwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba limelaani hatua ya kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kususia vikao vya Bunge hilo linaloendelea mjini hapa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EMVKhgUIcMtFHsQE4uiSj*C7970azkFw2Y2Aq7frcM4iwvYLgglFayXwXazbpgb3b2jt3jvffFoJ7S*upUG84LqITvdtoqUs/JAB.jpg)
APEWA JUKUMU LA KUWA MPISHI JESHINI
Jacob Steven Mbura ‘JB’. JACOB Steven Mbura ‘JB’ anaendelea na simulizi yake tamu ya safari ya maisha, tangu kuzaliwa, makuzi, malezi na kila hatua alizopita katika maisha yake hadi kufika alipo leo. Ni simulizi isiyochosha masikioni! Imejaa kila aina ya vimbwanga, matukio ya kushangaza na wakati mwingine masikitiko. Tuko sehemu ya tano sasa, wiki iliyopita aliishia pale alipoyakumbuka maisha matamu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iVn57JuI46d47ZC53qi7by8gLk7ujCRCip0ViGS9xTO4iAlctWYzqbRoTYp3z57lJjRfLOLAKzvSnMc*OMypIed/jjjj.jpg)
Azam yamalizana na Stewart, atua na mpishi wake
Kocha mpya wa Azam, Muingereza Stewart Hall. Na Hans Mloli, Dar es Salaam
AZAM FC inatarajia kuingia mkataba na kocha wake mpya, Muingereza, Stewart Hall leo lakini kingine kipya ni kwamba kocha huyo atatua na mpishi wake maalum wa timu pamoja na benchi zima la ufundi kutoka nchini Uingereza. Taarifa zilizolifikia Championi Jumatatu kutoka kwa mmoja wa mabosi wa juu wa Azam, zimeeleza kuwa Stewart ameamua kufanya hivyo kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3lmUatU1Qfhk87s3o*8OUdmLfZiPSBw7ezGWgGLwQxG*7gvk78t-RlmgWW*UzYAbM731CQwiAHnUSmMLIbfuP2/OKWI.jpg?width=650)
Sakata la kususa Yanga, Okwi aitaja Simba
Mshambuliaji Emmanuel Okwi.
Na Shakoor Jongo
FILAMU ya Emmanuel Okwi na timu yake ya Yanga inaendelea, sasa ni ukurasa mpya baada ya mchezaji huyo raia wa Uganda kutoa kauli. Okwi ambaye inadaiwa kuwa amesusa kuichezea timu hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa hajamaliziwa malipo ya fedha zake za usajili, amesema kuwa hawezi kufunguka zaidi kuhusu kinachoendelea.
Lakini amedai kuwa atafanya hivyo mara baada ya timu yake kuivaa...
11 years ago
Mwananchi03 Aug
BUNGE LA KATIBA: Hatukukosea kususa -Zitto Kabwe
>Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewataka viongozi kuacha kufananisha mchakato wa Katiba na ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga.
11 years ago
Mwananchi21 Jun
MAONI: Wasanii wetu kususa tamasha ni aibu
>Siku chache zilizopita msanii Yesaya Ambwene au AY aliteuliwa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) kuwa balozi katika ‘Kampeni ya Tokomeza Ukatili Dhidi ya Watoto.’
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania