Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPWA WA MAHITA AJINYONGA UKWENI

Na Dustan Shekidele,Morogoro
MTU mmoja aitwaye Said Mchuma anayedaiwa kuwa ni mpwa wa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, IGP), Alhaj Omar Idd Mahita ameacha simanzi  baada ya kujinyonga ukweni kwa kutumia shuka. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita Mtaa wa Tambuka, Kata ya Kingolwira Manispaa ya Morogoro. Inadaiwa kuwa, marehemu alichukua uamuzi huo baada ya miaka 7 tangu mkewe ambaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUME AJINYONGA UKWENI

Na Gregory Nyankaira, Butiama, Mara.
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani Butiama,  Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa akiishi naye. Marehemu Ryakora Kurwijira (kushoto) aliyejinyonga hadi kufa baada ya kuachwa na mkewe(wa pili kushoto). Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu, zinaeleza kwamba marehemu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahita alikosoa Jeshi la Polisi, Mangu amfungukia

>Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) mstaafu, Omary Mahita amesema askari polisi kwa sasa wamepoteza hadhi, hawaogopwi na wahalifu na ndiyo sababu kubwa ya kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu kila kukicha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpwa wa rais wa Somalia auawa Mogadishu

Mpwa wa rais wa Somali Hassan Sheikh Mohamud ameuawa katika mji mkuu wa Mogadishu.

 

10 years ago

Mtanzania

Amkata mpwa wake sehemu za siri

NA AMON MTEGA, SONGEA

MKAZI wa Kijiji cha Majimaji kilichopo Tunduru mkoani Ruvuma, Patrick Vitus (70), amekatwa sehemu zake za siri na kuachwa zikining’inia.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya simu jana, Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, Hussein Mkali, alisema Patrick alikatwa sehemu zake hizo na mpwa wake Zainabu Said (32), baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mumewe aliyekuwa kwa mke mdogo.

Alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tisa usiku katika maeneo ya mashamba ya kijiji hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

MPWA AKIWA NA CEO WA BAMA BONGO NDANI YA BIRMINGHAM, AL

CEO wa Bama Bongo akiwa na mpwa ndani Birmingham Jimbo la Alabama  wakiangalia mchezo wa kikapu kati Wizard na Miami 

 

10 years ago

GPL

MUME AFUKUZWA UKWENI!

Richard Bukos, Dar
HII ni dunia ya mambo mengi! Mkazi wa Kigogo -Luhanga jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la baba Juma, Jumamosi iliyopita alijikuta akitimuliwa ukweni sanjari na mkewe, Mwanahamisi Njama kwa madai amekuwa akishindwa kutoa ushirikiano wakati wa kuchangia chakula kwenye familia ya mkewe. Baba Juma akitimuliwa ukweni. Katika sakata hilo, baba Juma inasemekana amekuwa akiishi ukweni hapo ambapo masuala ya msosi...

 

10 years ago

GPL

TYLOR SWIFT KUPELEKWA UKWENI

Staa wa muziki wa Pop, Tylor Swift. NEW YORK, Marekani
BAADA ya kushinda tuzo za BillBoard nane kati ya 14 alizokuwa akiwania, staa wa muziki wa Pop, Tylor Swift anatarajiwa kupelekwa ukweni na mchumba wake, Calvin Harris. Tylor Swift akiwa na mpenzi wake Calvin Harris.
Chanzo kinafunguka kuwa Tylor na Calvin ambaye pia ni DJ wamepanga kwenda ukweni Juni mwaka huu.
“Calvin ataongozana na Tylor kwenye ziara ya...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE ADAIWA KUKATALIWA UKWENI

Stori: Jamila Said na Emelder Tarimo Haijakaa poa! Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao. Staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao...

 

11 years ago

GPL

SHIJA AJITAMBULISHA UKWENI TENA

Na Hamida Hassan
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Deogratius Shija ameamua kuvunja ukimya na kujitambulisha ukweni.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Jumamosi iliyopita, Shija alifunga safari hadi Bagamoyo nyumbani kwa wazazi wa mkewe mtarajiwa, Irene Ndosi na kujitambulisha kama taratibu za Kiafrika zinavyotaka. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Deogratius Shija. Alipotafutwa na paparazi wetu, Shija alikiri kwenda ukweni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani