Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wanufaisha maelfu ya wasichana Mtwara

WASICHANA wa mkoani Mtwara wamefaidika na elimu ya afya na vifaa, vitakavyowasaidia kujisitiri wakati wa hedhi. Elimu hii na msaada vimetolewa kupitia mradi wa Hakuna Wasichoweza, unaotekelezwa na asasi ya T-MARC Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA WATOA ELIMU NA MISAADA YA VIFAA VYA KUJISITIRI WAKATI WA HEDHI KWA WASICHANA 6000 MKOANI MTWARA

Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Bw. Salum Masalanga (katikati) akikabidhi msaada wa pedi kwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Maendeleo, Neema Mohamed chini ya programu ya Hakuna Wasichoweza iliyofadhiliwa na Vodacom na T-MARC. Wakishuhudia tukio hilo, ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii Vodacom, Yesaya Mwakifulefule (kushoto)na Mratibu wa Mradi kutoka T-MARC Tanzania, Bi. Dorice Chalambo (kulia), mradi huo umeanza kufanya kazi mkoa wa Mtwara na Lindi na kusambaa nchi nzima....

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kinga ya afya wanufaisha Nachingwea

VIJIJI 21 katika wilaya za Nachingwea na Masasi vimepatiwa dawa, pembejeo za kilimo na mifugo ya mbuzi na ng’ombe wa maziwa na kuchimba visima vya maji vifupi na virefu, kupitia mradi wa kinga ya afya na uhakika wa chakula.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wasichana Mtwara wasaidiwa kujikinga na mimba, ukimwi

WASICHANA 6,000 walio kwenye umri wa balehe mkoani Mtwara, sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa Useme kuipaisha Mtwara kielimu

ELIMU ni mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua ili kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia. Makubaliano na itifaki za kikanda...

 

9 years ago

Mwananchi

Mradi wa gesi Mtwara-D’Salaam wakamilika

Mradi wa kuchakata gesi asilia kutoka Madimba Mtwara-Songosongo hadi Dar es Salaam umekamilika na kuwezesha uzalishaji umeme katika mitambo ya Kinyerezi, Ubungo, Tegeta na kuingizwa kwenye gridi ya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA NA MIMBA NA VIRUSI VYA UKIMWI

Jumla ya wasichana 6,000 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.    
Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania Maurice Chirimi alisema mafanikio hayo yametokana na mradi unaojulikiana kama ‘Hakuna Wasichoweza’ unaotekelezwa na T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumla ya wasichana 6,000 Mkoani Mtwara wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba pamoja na virusi vya Ukimwi

001.Tanzania

Na Mwandsihi Wetu

Zaidi ya jumla ya wasichana 5,784 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi                     

Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania Maurice Chirimi alisema mafanikio hayo yametokana na mradi unaojulikiana kama ‘Hakuna Wasichoweza’ unaotekelezwa na T-MARC kwa...

 

10 years ago

GPL

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA NA MIMBA NA VIRUSI VYA UKIMWI‏

Baadhi ya wanafunzi wa kike wakipata semina kutoka  T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID). Wanafunzi wa kike wakiwa wenye furaha baada ya semina T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID).…

 

10 years ago

Michuzi

JK AZINDUA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA MRADI WA NYUMBA ZA NHC MKOANI MTWARA LEO


 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais  Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30za makazi zinazojengwa  na NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,Kulia ni Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli wakiondoka eneo la tukio mapema leo mchana Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani