MR.CHAMPIONI ‘AWASAPRIZE’ WASOMAJI DAR
Mr.Championio akimpatia zawadi msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi aliyekutwa akisoma. Msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi eneo la Mbezi, Kimara akipokea zawadi kutoka kwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMR CHAMPIONI AWATEMBELEA WASOMAJI WAKE DAR
Mr Championi (kushoto) akiwa na msomaji wa Championi.
Msomaji akionyesha zawadi aliyopewa na Mr Champion.
Mdau maarufu wa gazeti la Championi akifurahia zawadi.…
10 years ago
GPLMR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
Msomaji wa Championi Jumamosi akirudishiwa pesa baada ya kukutwa akisoma gazeti. Msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi akirudishiwa pesa…
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AENDELEA KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI JIPYA LA CHAMPIONI JUMAMOSI
Mr. Championi akimkabidhi zawadi msomaji wa Championi Jumamosi akiwa amevua shati, kwa raha zake. Msomaji akirudishiwa Sh 500 aliyonunulia gazeti baada ya kukutwa na Mr. Championi.…
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR
Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…
11 years ago
GPLWASOMAJI WA RISASI NA CHAMPIONI WAZAWADIWA
Mhariri wa Risasi Mchanganyiko, Mohammed Kuyunga (kulia) akiwa na Joshua Simon aliyenunua magazeti ya Risasi na Championi, Kimara Suka jijini Dar na kurudishiwa fedha zake. Msomaji aliyekutwa akisoma Gazeti la Uwazi, Rebecca Mlotwa, aliweza kununuliwa Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Ubungo jijini Dar.…
11 years ago
GPLWasomaji Championi kuondoka na TV, dekoda leo
Na Mwandishi Wetu
SIKU imefika. Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wasomaji wa Gazeti la Championi kujishindia zawadi zao, imewadia ambapo leo Jumatatu washindi wataondoka na zawadi zao kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi. Zawadi ambazo zitatolewa leo ni runinga bapa ‘flat screen’ itakayoambatana na dekoda, dinner set mbili pamoja na jezi tatu za michezo. Clement Michael (kulia) ambaye ni mkazi wa...
10 years ago
GPLChampioni yaja na zawadi kwa wasomaji
Zawadi zitakazotolewa na Gazeti la Champion. Na Mwandishi Wetu
GAZETI bora la michezo Tanzania, Championi, limeanzisha Chemsha Bongo ambayo wasomaji wake watakuwa wakijipatia zawadi mbalimbali. Wasomaji wa Championi ambalo linatoka mara nne kwa wiki yaani Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumamosi, wanatakiwa kujibu swali litakalokuwepo kwenye ukurasa wa pili wa kila toleo na mshindi atajinyakulia zawadi kemkem. Zawadi hizo...
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AGOMBEWA NA WASOMAJI VIWANJA VYA SABASABA
Mr. Championi akiwa na msomaji wa Gazeti la Championi katika picha ya pamoja. Mr. Championi akirandaranda ndani ya Viwanja vya Sabasaba kuwasaka wasomaji wa Gazeti la Championi.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania