Wasomaji Championi kuondoka na TV, dekoda leo
Na Mwandishi Wetu SIKU imefika. Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wasomaji wa Gazeti la Championi kujishindia zawadi zao, imewadia ambapo leo Jumatatu washindi wataondoka na zawadi zao kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi. Zawadi ambazo zitatolewa leo ni runinga bapa ‘flat screen’ itakayoambatana na dekoda, dinner set mbili pamoja na jezi tatu za michezo. Clement Michael (kulia) ambaye ni mkazi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AENDELEA KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI JIPYA LA CHAMPIONI JUMAMOSI
11 years ago
GPLWASOMAJI WA RISASI NA CHAMPIONI WAZAWADIWA
10 years ago
GPLMR CHAMPIONI AWATEMBELEA WASOMAJI WAKE DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu0kpsVY2Ne6es9SYARYGx86kOjem6bQBtQcezm8qg8iOG4i2NbAEVkreC4mtEZ4gwZMLoUMwD1oKMss84JnBXE9/champ.jpg)
Championi yaja na zawadi kwa wasomaji
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AGOMBEWA NA WASOMAJI VIWANJA VYA SABASABA
10 years ago
GPLMR.CHAMPIONI ‘AWASAPRIZE’ WASOMAJI DAR
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR