MREMBO: DUDE AMENIZALISHA, KANITELEKEZA
![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQh8IUui6vcXdGGKL0YQ5Qe7f0wGpFiit8n8BsRP8*OEjcXuiTPugqc9*dlGubzyUn1omQwQjaZLmqlBQHr6D0ss/BACKRISASI.jpg)
Gladness Mallya na Andrew Carlos Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Ester Eliakim, mkazi wa Kinyerezi, Dar ameibuka na kueleza kwamba alizaa na staa wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambaye baadaye alimtelekeza yeye na mwanaye Cleopatra (mwenye miezi 11). Staa wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na paparazi wetu, Ester alisema mara ya kwanza alikutana na Dude katika mchezo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL12 Jun
VIDEO: DUDE AMENIZALISHA, AKANITELEKEZA - MREMBO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E2q56SVxnZdiHm1MHhcwO1lNLjmnC6rWQPJ9vCxY0uliQrIaFDYSxLPzKi9rw*eVhhMvDp52TafYGd0U-5CEtf7FpPLC1GnP/11.jpg)
MUME KANITELEKEZA NA WATOTO WATANO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2MYEJXe1yARBywn3BlfZIPG9UuEHEbrCaEASQ52tm2hJINX2but0rw6Bl18TSuaKNIyVYXUT59tj9EWFHdDIiH/DUDE.jpg)
DUDE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZm7n59oSA-GAm0wuYVnAIgsdEHkE4uxwuGHrO028zevfbZqKPwP*buwZSHuIh-kz4rmIOcqEgASPOvQMMANHan/mastaa.jpg?width=600)
MASTAA WAMBWATUKIA DUDE
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Dude Alaumu Viwango 0
Dude alaumu wasanii wenzake kwa kutoa utitiri wa filamu zisizo na viwango na kusema anataka kuleta mabadiliko katika filamu yake mpya, baada ya kukaa muda mrefu bila kutoa sinema.
Dude alisema wasanii wengi wa filamu nchini wana vipaji lakini wanashindwa kuvitumia ipasavyo kutokana na kuandika miswada ya filamu ambazo hazina elimu yoyote kwa jamii.
Mbali na miswada mibovu , Dude amesema pia wasanii wengi wana tatizo la kuingiza mambo binafsi ambayo hayaendani na hadithi yenyewe...
11 years ago
GPLDUDE ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7kDhSvujoayy6T3IMPYr7fyk9aRZpwZUMin3edA0bQwl73jwyOP7Q4CvbGTd8Z7L5stuUHJROoMtSoz4Z59Q8i-/DUDE.jpg)
NDINGA LA DUDE NGOMA NZITO!
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
Dude:Nina Watoto Wanane Tu!!
MWONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, ametaja idadi ya watoto wake akisema wapo wanane tu. Amekanusha vikali kuwa na timu ya mpira (watoto 11) idadi inayovumishwa na wengi.
Dude anatajwa kuwa ni msanii anayeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto kwa wasanii wengine wa kiume wa Tanzania.
“Kila mtu anasema anavyojisikia, mara ooh Dude ana timu nzima ya mpira wa miguu, lakini ukweli ni kwamba nina watoto wanane tu, ambao nimezaa na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkae6HIaKvzz1ewGDmAhY7UlHPvPo4J8DVSSmSlWFIjYcZeeHd9SOvhhcPsR5ototg94fQ-2TfYDL58EqbHN6*WYt/Dude.gif?width=650)
ESTER, MKE WA DUDE WAPATANISHWA