Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrusi anayeizunguka dunia akitembea kwa miguu, awasili nchini

>Raia wa Urusi, Sergey Chikachev anayezunguka mataifa mbalimbali duniani kwa miguu,  juzi amewasili nchini akitokea Kenya na anatazamiwa kuzunguka mikoa mbalimbali kwa siku 30.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MWANAMFALME AKISHINO WA JAPAN AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Mwanamfalme Akishino wa Japan mara baada ya Mwanamfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku tano hapa nchini.Mhe. Mahadhi na Mwanamfalme Akishino wa Japan wakiendelea na mazungumzo huku Mke wa Mwanamfalme huyo (kulia) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mhe. Salome Sijaona (kushoto) na...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. MEMBE AWASILI NCHINI CHINA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)  akipokelewa na mwenyeji wake Mhe. wang Yi, Waziri wa Mambo ya Nje wa China mara baada ya kuwasili kwenye  Wizara ya Mambo ya Nje ya China.   Mhe. Membe na Mhe. Wang Yi katika picha ya pamoja. Mhe. Membe akiongozana na Mhe. Wang Yi mara baada ya kupokelewa.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Rais Yoweri Museveni Awasili Nchini kwa Ziara ya siku moja

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dar es Salaam kwa ajili ya  ziara yake ya siku moja nchini Tanzania . Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akikagua Gwaride la Maaskari pamoja na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni baada ya kuwasili  leo jijini  katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku moja. Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Kulia) pamoja na mgeni...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU




Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu  (kulia) akisalimiana leo na  Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania,  Mhe. Yonas Sanbe  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Jaji Ethiopia, Mhe.  Meaza Mengistu  (kulia) akipokelewa  leo na Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni  ya Biashara ,  Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

SEPP BLATTER AACHIA NGAZI KUONGOZA CHOMBO KIKUBWA KABISA KINACHOONGOZA MPIRA WA MIGUU DUNIA FIFA LICHA YA JUZI JUZI TU KUSHINDA KWA KISHINDO


Kutoka na tuhuma za rushwa ilichokikumba chama cha soka duniani FIFA rais wake ajiuzulu. Habari zaidi kuwaletea kwaiyo endelea kukodolea macho blog yako ya jamii Vijimambo.

 

10 years ago

Vijimambo

Makamu wa Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa ziara ya siku moja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu  Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Matamela alipofika Ikulu kwa mazungumzo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) kwa pamoja na Mhe. Wasira wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Rais na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Filipe Jacinto Nyusi...

 

9 years ago

Michuzi

REBECCA MALOPE AWASILI NCHINI TAYARI KWA KUWASHA MOTO TAMASHA LA XMASS DIAMOND JUBILEE KESHO

 Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini,Rebecca Malope akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jioni hii tayari kwa ajili ya kutumbuiza kaika tamasha la Krismass litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kesho likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi , kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani