Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAADA KWA MZEE HUYU

Mzee Bugode Bulahi akiwa ndani kwake. Nyumba anayoishi Mzee Bugode. Na Gabriel Ng’osha/GPL Mzee mmoja anayejulikana kwa jina la Bugode Bulahi mkazi wa Sogesca wilayani Magu Mkoa wa Mwanza, anaomba…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSAADA WA MATIBABU UNAHIDAJIKA KWA DADA HUYU

Habari kaka,
Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo mkazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4.
Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo hata hivyo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya raufaa mkoani Mbeya ambako alikaa kwa miezi mitatu bila kupata...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wa wasamaria wema wa matibabu unahitajika kwa dada huyu

Ndugu Wasamaria wema

Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye, na migu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na mwanaye mwenye umri wa miaka 4. Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana dada huyu alipata ajali ya kugongwa na gari ambayo haikusimama kumsaidia. Ila kwa msaada wa wasamaria wema alipelekwa hospitali ya rufaa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAADA KWA HILI: SHILINGI MILIONI 50 ZINAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA KIJANA HUYU

Kijana ABEL MACHANG'A, mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa Jijini Dar es Salaam, ambae anasumbuliwa na maradhi ya macho, akiwa amejipumzisha nyumbani kwao baada ya kuzungumza na waandishi wa habari ili kuomba msaada wa kupelekwa nje ya nchi kwa ajili ya kupatiwa matibabu.  

Na Mwandishi Wetu
Kijana Abel mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam anakabiliwa na maradhi ya macho na mishipa ya fahamu hali iliyosababisha apoteze uwezo wa kuona, na hivyo...

 

11 years ago

GPL

MZEE ALIYEPOOZA ANAOMBA MSAADA KWA AJILI YA TIBA

Mzee Nassor akiwa nyumbani kwake Magomeni-Usalama jijini Dar es Salaam. Mzee Nassor akiwa amesimama. Na Gabriel Ng’osha/GPL MZEE Nassor mkazi wa Magomeni-Usalama jijini Dar es Salaam anaomba msaada kutoka kwa wananchi ili akatibiwe ugonjwa wa kupooza  ambao umemfanya atembee na kuzungumza kwa shida ikiwa ni pamoja na kuathiri mkono na mdomo wake. Akizungumza na mtandao huu, mzee Nassor alisema matatizo hayo yalianza...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI ILI KUOKOA UHAI WA MTOTO HUYU


Mtoto  Zabibu Salum Abdalah ---------------Na Steven Augustino wa demasho.com, Tunduru.MZAZI wa mtoto wa miezi sita Zabibu Salum Abdalah ,ambaye kichwa chake kina kuwa kikubwa kila siku tangu azaliwe ameomba msaada wa fedha ili kufanikisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.
Mama mzazi wa Mtoto Bi. Zainabu Mustafa Rajab,alisema kuwa Binti yake huyo alizaliwa April 24 mwaka huu katika hospitali ya Serikali ya Wilaya ya Tunduru,na kwambatatizo hilo la kuanza kukua kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU

Paulina Nyoni (Mama wa mtoto Fatuma Msuya) akiwa amembeba mwanaye ambaye anahitaji msaada wa matimabu .

---------------------- Paulina nyoni mkazi wa kijiji cha Hanga wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma anaomba msaada kwa yeyote atakaye guswa na tatizo la mwanaye  aitwaye Fatuma Msuya ili aweze kupata matibabu katika hospitali ya KCMC moshi.
Paulina ni mama mwenye watoto wa tano anayejishugulisha na kilimo , Mume wake aitwaye  Jafari Msuya amemtelekeza baada ya kujifungua mtoto mwenye tatizo hili...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIO MWANAFUNZI MZEE ZAIDI DUNIANI ANAYESOMA SHULE YA MSINGI, ANA MIAKA 90

Gogo akiwa darasani na wanafunzi wenziwe.
Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani. 
Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza kwenye daftari lake.Prissilla alijiunga na shule hii ya...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: Shilingi MILIONI 50 zinahitajika Kuokoa Maisha ya Kijana Huyu

 Kijana ABEL MACHANG'A, mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa Jijini Dar es Salaam, ambae anasumbuliwa na maradhi ya macho, akizungumza na waandishi wa habari ili kuomba msaada wa kupelekwa nje ya nchi kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Kijana ABEL MACHANG'A, mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa Jijini Dar es Salaam, ambae anasumbuliwa na maradhi ya macho, akiwa amejipumzisha nyumbani kwao baada ya kuzungumza na waandishi wa habari ili kuomba msaada wa kupelekwa nje...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani