Msama ampongeza Mwakyembe
MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama, amempongeza Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kujenga na kuimarisha sekta ya usafirishaji wa anga nchini. Alitoa pongezi hizo siku chache baada ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5qgA6_ZCCGs/U4OBYTSeBDI/AAAAAAACiNg/6k1pn_2zVAk/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Msama ampongeza Mwakyembe kuifufua ATCL
![](http://4.bp.blogspot.com/-5qgA6_ZCCGs/U4OBYTSeBDI/AAAAAAACiNg/6k1pn_2zVAk/s1600/unnamed+(1).jpg)
SERIKALI kupitia Wizara ya Uchukuzi inayoongozwa na Dk. Harrison Mwakyembe inastahili, pongezi kwa kupiga hatua kubwa kujenga na kuimarisha sekta ya usafirishaji wa anga nchini.
Mkurugenzi wa Msama Promotins Alex Msama, ametoa pongezi hizo siku chache baada ya Wizara hiyo kuendelea kuonesha mafanikio makubwa katika utoaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Msama atoka Muhimbili
MKURUGENZI wa Msama Promotions Ltd ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, ameruhusiwa baada ya kupata nafuu dhidi ya maumivu ya ajali aliyopata...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Askofu ampongeza Kificho
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Mwambungu ampongeza mkandarasi
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, amepongeza mradi wa ujenzi wa majengo ya Shule ya Sekondari Unberkant iliyopo kwenye Kata ya Mtipwili wilayani Nyasa mkoani hapa unaofanywa na Kampuni...
10 years ago
Vijimambo27 Mar
Nape ampongeza Lowassa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-27March2015.jpg)
Nape amesema hatua hiyo ya Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli ni nzuri kwa kuamua kusitisha makundi kwenda kumshawishi agombee urais, ambayo kwa siku chache mfululizo yalikwenda nyumbani kwake Monduli na mjini Dodoma kwa nia hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana akiwa katika...
11 years ago
Habarileo21 Jul
Balozi wa China ampongeza JK
BALOZI wa China nchini, Lu Youqing amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kile alichosema ni kazi yake kubwa anayoifanya kusimamia shughuli za ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami, jambo ambalo litasaidia kurahisisha upatikanaji wa maendeleo.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
DC Tunduru ampongeza mwekezaji
MKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Chande Nalicho, amempongeza Mwekezaji wa nyumba ya kulala wageni ya Peramiho, Faustin Chale kwa uwekezaji alioufanya wilayani hapo. Alisema ujasiri wa mwekezaji huyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1huPN07vqRclcIpeV23ksyTBxYf2MF9VV4XVcBg3bgcSFQaCQJJXvNLfjk7DCKjdFrw3jwL8D33sENaSzyHw-l/BREAKINGNEWS.gif)
ALEX MSAMA APATA AJALI