Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama atoka Muhimbili

MKURUGENZI wa Msama Promotions Ltd ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, ameruhusiwa baada ya kupata nafuu dhidi ya maumivu ya ajali aliyopata...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBOWE ATOKA HOSPITALINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe .
By Raymond Kaminyoge. Mwananchi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani.

Mbowe aliugua ghafla Jumatatu iliyopita akiwa kwenye maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kupitia tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa aliyekwenda katika ofisi za Tume ya Taifa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe atoka hospitali

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani.

 

9 years ago

Mtanzania

Masha atoka Segerea

mashaNA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

BAADA ya kuwa chini ya Jeshi la Magereza kwa saa 24, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, ametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa.

Masha aliingia katika Gereza la Segerea juzi alasiri na kuachiwa huru jana alasiri baada ya mahakama kujiridhisha.

Mshtakiwa huyo alipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi Waliarwande Lema kwa ajili ya dhamana.

Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, aliifahamisha mahakama kwamba uhakiki wa masharti ya dhamana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Schumacher atoka hospitali

Bingwa wa zamani wa Formula 1 Michael Schumacher ameruhusiwa kutoka hospitali

 

10 years ago

BBCSwahili

Fernando Alonso: atoka hospitalini

Dereva wa timu ya Mclaren fernando alonso ametoka hospitali baada ya kupata ahueni kufuatia kupata ajali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Zambia atoka hospitali

Edgar Lungu, rais wa Zambia, aruhusiwa kutoka hospitali baada ya upasuaji

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Algeria atoka hospitalini

Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amerudi nchini Algeria baada ya kulazwa kwa siku mbili katika hospitali moja ya Ufaransa.

 

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete atoka wodini

Rais Jakaya Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa, Edward Schaeffer (kushoto) kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita. Kulia ni mkewe, Mama Salma Kikwete. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalumu, ambako anaendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani