MBOWE ATOKA HOSPITALINI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe .
By Raymond Kaminyoge. Mwananchi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani.
Mbowe aliugua ghafla Jumatatu iliyopita akiwa kwenye maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kupitia tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa aliyekwenda katika ofisi za Tume ya Taifa ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Nov
Rais wa Algeria atoka hospitalini
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Fernando Alonso: atoka hospitalini
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Davido atoka hospitalini nchini Gambia
Mwanamuziki staa wa Nigeria, Davido.
MWANAMUZIKI staa wa Nigeria, Davido, aliyekuwa nchini Gambia hivi karibuni, alishindwa kuhudhuria tamasha la tuzo za wanamuziki la Headies Award kutokana na uchovu ambapo ilibidi alazwe hospitalini.
Akijibu swali kwa nini hakuhudhuria tamasha hilo, Davido alisema hakuona sababu yoyote ya kufanya hivyo kwani hata tuzo tatu alizoshindwa mwaka 2014 hadi leo hajapewa.
“Nilikuwa Gambia, kaka, lakini hata tuzo tatu nilizoshinda mwaka jana, hazijatua mikononi...
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atoka Hospitalini Baada ya kupata nafuu




10 years ago
Vijimambo13 Nov
RAIS KIKWETE ATOKA HOSPITALINI BAADA YA KUPATA NAFUU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.


10 years ago
Mwananchi13 Aug
Mbowe atoka hospitali
11 years ago
BBCSwahili10 Sep
Schumacher atoka hospitali
10 years ago
Mtanzania27 Aug
Masha atoka Segerea
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
BAADA ya kuwa chini ya Jeshi la Magereza kwa saa 24, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, ametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa.
Masha aliingia katika Gereza la Segerea juzi alasiri na kuachiwa huru jana alasiri baada ya mahakama kujiridhisha.
Mshtakiwa huyo alipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi Waliarwande Lema kwa ajili ya dhamana.
Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, aliifahamisha mahakama kwamba uhakiki wa masharti ya dhamana...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Msama atoka Muhimbili
MKURUGENZI wa Msama Promotions Ltd ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, ameruhusiwa baada ya kupata nafuu dhidi ya maumivu ya ajali aliyopata...