Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Davido atoka hospitalini nchini Gambia

davido-beardsMwanamuziki staa wa Nigeria, Davido.

MWANAMUZIKI staa wa Nigeria, Davido, aliyekuwa nchini Gambia hivi karibuni, alishindwa kuhudhuria tamasha la tuzo za wanamuziki la Headies Award kutokana na uchovu ambapo ilibidi alazwe hospitalini.

Akijibu swali kwa nini hakuhudhuria tamasha hilo, Davido alisema hakuona sababu yoyote ya kufanya hivyo  kwani hata tuzo tatu alizoshindwa mwaka 2014 hadi leo hajapewa.

“Nilikuwa Gambia, kaka, lakini hata tuzo tatu nilizoshinda mwaka jana, hazijatua mikononi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBOWE ATOKA HOSPITALINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe .
By Raymond Kaminyoge. Mwananchi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani.

Mbowe aliugua ghafla Jumatatu iliyopita akiwa kwenye maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kupitia tiketi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa aliyekwenda katika ofisi za Tume ya Taifa ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fernando Alonso: atoka hospitalini

Dereva wa timu ya Mclaren fernando alonso ametoka hospitali baada ya kupata ahueni kufuatia kupata ajali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Algeria atoka hospitalini

Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amerudi nchini Algeria baada ya kulazwa kwa siku mbili katika hospitali moja ya Ufaransa.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atoka Hospitalini Baada ya kupata nafuu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Daktari Edward Schaeffer muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore, Maryland nchini Marekani ambapo alifanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATOKA HOSPITALINI BAADA YA KUPATA NAFUU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu ya watoto njiti hufa hospitalini nchini

Wakati Serikali ikihangaika kutafuta ‘mwarobaini’ wa vifo vya wanawake wajawazito wanapojifungua, imebainika kuwa kuna idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wake (njiti), ambao hufariki dunia kila siku katika hospitali mbalimbali nchini kutokana na kukosa huduma.

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani