Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama ampongeza Mwakyembe kuifufua ATCL

Mkurugenzi wa Msama Promotins Alex Msama (kulia),  akiwa na Mratibu wa Tamasha la Pasaka John Melele, wakifurahia kusafiri na Jet 103 ndege ya ATCL hivi karibuni. 
SERIKALI kupitia Wizara ya Uchukuzi inayoongozwa na Dk. Harrison Mwakyembe inastahili, pongezi kwa kupiga hatua kubwa kujenga na kuimarisha sekta ya usafirishaji wa anga nchini.
Mkurugenzi wa Msama Promotins Alex Msama, ametoa pongezi hizo siku chache baada ya Wizara hiyo kuendelea kuonesha mafanikio makubwa katika utoaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Msama ampongeza Mwakyembe

MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama, amempongeza Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kujenga na kuimarisha sekta ya usafirishaji wa anga nchini. Alitoa pongezi hizo siku chache baada ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Klopp ana ndoto ya kuifufua Liverpool

Kocha Jurgen Klopp anatarajiwa kutambulishwa leo kama mrithi wa kiti cha Brendan Rodgers huku akiwa na ndoto kichwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila: Warioba umenirahisishia kazi ya kuifufua Tanganyika

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amesema madai yake ya zaidi ya miaka 20 kuhusu Serikali ya Tanganyika yamerahisishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na ana imani Tanganyika inarejea muda mfupi ujao

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YATOA BIILIONI 10 KUIFUFUA UPYA TAZARA


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akimsikiliza Meneja wa Karakana ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Mbeya, Mhandisi Ezekiel Mong’ateko, wakati akimweleza hatua ya ukarabati iliyofikiwa katika karakana ya tazara mkoani Mbeya.
Muonekano wa moja ya Vichwa vya treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) vilivyokamilika baada ya kufungwa mashine ya kufua umeme (Tranction Motor), katika karakana ya Mamlaka hiyo Mkoni Mbeya.
Waziri wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Ministry: We want to bail out ATCL

Already the ministry of Transport has ordered ATCL to prepare a business plan which, among the things, will identify the airline’s needs.

 

10 years ago

Mwananchi

ATCL kuburutwa mahakamani

Waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kapteni Msami Mmari na Kapteni Suel Mjungu wamefungua madai ya kuomba kukazia hukumu katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Kazi, wakiomba kukamata na kuliuza jengo la ATC House ili wafidie malimbikizo yao ya mishahara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL wanajaribu kumhadaa nani?

HIVI karibuni Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), liliwaeleza Watanzania kuwa limenunua ndege mpya kwa lengo la kuboresha huduma ya usafiri kwa safari za ndani ya nchi. Hiyo ilikuwa ni habari...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabeba madeni ya ATCL

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica MwamunyangeSERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika hilo kuanza biashara.

 

11 years ago

Mwananchi

ATCL yajivunia ongezeko la abiria

Shirika la Ndege la Tanzania limedai kuweka rekodi ya ongezeko la abiria kwa asilimia 57 ndani ya wiki kadhaa baada ya kupokea ndege ya kukodi aina ya CRJ-200 yenye uwezo wa kubeba abiria 50 pamoja kuiongezea uwezo wa kuruka kwa wakati kwa asilimia 98.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani