Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII AFA AKITAJA JINA MAINDA

Stori: Imelda Mtema
MSANII aliyefariki dunia hivi karibuni mjini Morogoro, Sherry Magali, anadaiwa kuwa alikuwa akilitaja jina la Ruth Suka ‘Mainda’ kila mara hadi alipofikwa na umauti. Marehemu Sherry Magali enzi za uhai wake. Chanzo chetu makini kilichokuwa karibu na msanii huyo wa filamu, kinasema Sherry alianza kugoma kula akidai hadi amuone msanii mwenzake huyo ambaye alikuwa jijini Dar es Salaam...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSANII AFA GHAFLA!

Stori: Hamida Hassan Msiba! Bado bundi wa vifo anaendelea kung’ang’ania tasnia ya sinema za Kibongo kufuatia kifo cha ghafla cha msanii wa Bongo Muvi, Mariam Juma ‘MC Chimamy’ ambaye amefariki dunia ghafla baada ya kupatwa na kifafa cha mimba, ugonjwa uliomkuta muda mfupi kabla ya kujifungua. Msanii wa Bongo Muvi, Mariam Juma ‘MC Chimamy’ enzi za uhai wake. Mauti hayo yalimkuta MC Chimamy...

 

9 years ago

Vijimambo

MSANII ORGAN TAI AJA KIVINGINE. AACHIA NGOMA MPYA HUKU PIA AKIBADILI JINA LAKE

Msanii Organ Tai ambae kwa sasa anajulikana kwa jina la January.
Na:George Binagi-GB Pazzo

Inahitaji majibu zaidi japo mwenyewe ameshindwa kutoa majibu hayo kwa hivi sasa, lakini iko hivi; Msanii Organ Tai kutoka Rock City Mwanza ambae ngoma yake ya kwanza iitwayo Haina Noma ilimtambulisha vyema katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ameachana na jina hilo rasmi.

Akizungumza na BMG (Binagi Media Group), Msanii huyo amesema kuwa sababu za kubadili jina lake atazielezea baadae lakini kwa sasa mashabiki...

 

10 years ago

GPL

MAINDA ALILIA MTOTO

Brighton Masalu
STAA ‘mtulivu’ wa uigizaji Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameibuka na kudai kuwa kama mwanamke aliyekamilika, anasikitishwa sana kwa kutopata mtoto hasa kutokana na kunyoshewa vidole na maneno mengi juu ya suala hilo. Staa wa Bongo Movie , Ruth Suka ‘Mainda’ katika pozi. Alisema kutokana na kukosa mtoto wakati mwingine hujisikia vibaya kiasi kwamba hutamani kuwabeba watoto wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Mlokole Mainda anaswa!

IMG_3831
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ akikumbatiana na mwanaume huyo.

Musa mateja
STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ambaye ni mlokole wa Huduma ya Inuka Uangaze iliyopo kwenye Ukumbi wa Vatican City Hotel, Sinza jijini Dar, amenaswa laivu akiwa amegandana kimahaba na mwanaume hivyo kuibua minong’ono.

TUJIUNGE USHUANI MASAKI
Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri maeneo ya ushuani kwenye bustani zilizopo ndani ya Hoteli ya Double Tree, Masaki...

 

11 years ago

GPL

MAINDA: BORA NIZAE

Na  Shakoor Jongo
MUIGIZAJI wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa bora azae kwani kutozaa kwake kunamfanya aumwe mara kwa mara. Staa wa ‘longtime’ katika tasnia ya filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ Akizungumza na papazi wetu, Mainda alisema amegundua kuwa ili apone ugonjwa wa chango unaomsumbua mara kwa mara ameshauriwa na...

 

11 years ago

GPL

MAINDA AVIKACHA VIMINI

Stori: Gabriel Ng’osha IMEKAA poa sana! Shosti anayesukuma maisha kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya mabadiliko ya mavazi kuanzia kwenye filamu hadi maisha yake binafsi. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na mwandishi wetu, Mainda alisema kuanzia sasa watu wategemee mabadiliko makubwa katika maisha yake kwani ameamua kuvikacha...

 

10 years ago

GPL

MAINDA AGOMBANA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. TUJIUNGE NA MTOA HABARI Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa...

 

11 years ago

GPL

MAINDA ASAKA MUME

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kwa sasa hahitaji mchumba wala mpenzi, anahitaji mume wa kumuweka ndani. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema hata akifuatwa na mtu mwenye fedha nyingi kutaka uhusiano naye, hawezi kumkubalia kwani anachotaka sasa hivi ni ndoa tu. “Kwa sasa mpenzi wangu ni Yesu na kutokana na yeye mume wangu nimeshamuona kwenye maono…yulee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani