Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii kuonesha mali zake mtandaoni ni kutoa shukurani kwa mashabiki — Rich Mavoko

Watu maarufu wamekuwa na kawaida ya kushare mambo yao katika mitandao ya kijamii, hii ikiwa ni pamoja na maisha binafsi na kuonesha mali walizochuma kupitia kazi zao. Kwa mastaa wa bongo, baadhi yao hawapendi ‘kuringishia’ mali zao mitandaoni huku wengine akiwemo staa wa muziki Rich Mavoko wanaunga mkono tabia hiyo. Mavoko anaamini kwa kuonesha mali […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kuna umuhimu kwa msanii kuwa na wakala kwenye nchi nyingine — Rich Mavoko

Rich Mavoko amesema kuwa ni muhimu kwa wasanii kuwa na mawakala katika nchi zingine watakaokuwa wakisimamia kazi za wasanii hao kwenye nchi hizo ikiwa ni pamoja na kutafutiwa shows. “Kuna umuhimu kwa wasanii kama sisi Watanzania ambao wengi wao tunaamini kwamba kazi zetu hazifiki mbali, kwahiyo unatakiwa uwe na mtu anafatilia kazi zako,” alisema Mavoko […]

 

10 years ago

GPL

RICH MAVOKO, VANESSA MDEE WAKIWAPAGAWISHA MASHABIKI WA KILI DAR

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko akiwapagawisha mashabiki ndani ya Leaders Club. Mwanadada Vanessa Mdee akifanya vitu vyake stejini.…

 

10 years ago

Vijimambo

Msanii wa bongo fleva RICH MAVOKO Ajibu TUHUMA za Kujichubua Mwili Mzima na Kuwe Mweupe



Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua Baaada ya blog hii kuweka Picha zake Hapa zikionyesha Kuwa Mweupe tofauti na zamani...Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
“Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua,...

 

10 years ago

Michuzi

Meya Manispaa ya Tabora apandishwa kizimbani Baraza la Maadili kwa matumizi mabaya ya madaraka na kutoa Tamko la uongo la mali zake.

Na. Ally Mataula – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Meya wa Halmashauri Manispaa ya Tabora Mhe. Gulam Hussein Dewji Remtullah amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kujibu tuhuma zinazomkabili. Akisoma hati ya malalamiko mbele ya Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhe. Jaji (Mst.) Hamisi Msumi, Mwanasheria wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bw. Hassan Mayunga alilieleza Baraza hilo kuwa Mlalamikiwa akiwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kwa makusudi kabisa alikiuka...

 

9 years ago

Bongo5

Rich Mavoko ataja sababu zilizomfanya awe kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja

mavoko new

Rich Mavoko ameachia wimbo mpya Jumanne (Nov.24), ikiwa ni mwaka mzima na miezi miwili toka alipoachia single ya mwisho ‘Pacha Wangu’.

mavoko new

Wakati akitambulisha single mpya iitwayo ‘Naimani’ kupitia XXL ya Clouds Fm, Mavoko amezitaja sababu zilizomfanya asitoe wimbo kwa kipindi kirefu toka mwaka jana.

“Cha kwanza Pacha Wangu ni wimbo nimetoa mwezi wa 9 (2014) lakini pia imekuwepo kwa muda mrefu, sisemi kwamba natakiwa nitoe nyimbo ikae muda mrefu hapana.”

Mavoko aliendelea,

“lakini kusuasua...

 

9 years ago

Bongo5

Nuh Mziwanda: Sioni tatizo kwa msanii kuonesha mahaba kwa chama anachokipenda

Nuh Mziwanda amewataka wasanii kuwa wazalendo kwa kuonyesha hisia zao za vyama vya siasa na kuonyesha ushirikiano katika kuhamasisha. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio leo, Nuh alisema maendeleo yatakayopatikana ni manufaa kwa watanzania wote kwa ujumla. “Wewe ukiwa msanii sio kwamba sio mwananchi wa kawaida,” alisema. “Wewe pia unahitaji kutawaliwa vizuri. Unahitaji […]

 

10 years ago

Bongo5

Rich Mavoko: Sijaachia wimbo wala kwa sasa sina mpango wa kuachia wimbo

Kama wewe ni shabiki wa mtoto wa mama Richard, Rich Mavoko inabidi uwe na subira kwasababu muimbaji huyo wa ‘Pacha Wangu’ amesema hana mpango wa kutoa wimbo mpya hivi karibuni. Wiki hii kuna wimbo wa Rich Mavoko unaoitwa Ongea Nae’ umesambaa kwenye baadhi ya blogs na hata kuzifikia radio mbalimbali mikoani ikiaminika ni single yake […]

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani